GSM katoa mchango wa 60ml national team..huoni wenzetu wanapesa nyingiUto hamjapiga hesabu vizuri. Mngechukua hiyo 100m mngemwaga kifusi Kaunda au mngepiga rangi lile jengo lenu chafu au mngenunua vitanda size kubwa pale kwenye jengo lenu
Kwa hiyo mali za GSM ni za utopolo?GSM katoa mchango wa 60ml national team..huoni wenzetu wanapesa nyingi
Utopongo linazani mali za GSM nao wanahusikaKwa hiyo mali za GSM ni za utopolo?
Angewatafutia Makolo penaltySimba inatia aibu sana, Azam wanaonesha mechi na kila mtu anaona timu ni mbovu, refa kaongeza extra time dkk 6 ila mpira ukachezwa extra time dkk 9! Na kama Simba wasingepata goli la kubebwa mpira ungechezwa hadi usiku wa manane na usingeisha mpaka Simba wasawazishe, halafu mbumbumbu wakashangiliaaaaa! Big up sana marefa wa bongo kuibeba Simba!
Mali inazomiliki uto haina tofauti na Ihefu.Yeye ndo official sponsor.....amekuwa attached na Yanga ... tofauti na mudi
Lakini umasikini wa uto upo pale pale. Najua ulikuwepo kwenye supu na ungefurahi mpikiwe tena supu kwa hiyo 100m.Lakini hawana njaa na 100m that's y walipeleka kikosi C.... tofauti na makolo ambao Hadi wameloga kabisa[emoji23]