Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Nadhani iko wazi Kila mtu anajua kuwa timu yetu ya Simba imefika finali ya mapinduzi cup Kwa jitihada Binafsi za referee, kesho lazima tushinde dhidi ya Mlandege.
So ni vyema kama timu ku acknowledge wema tuliotendewa na refa Kama shukrani ya kazi kwenye Ile 100m refa apate hata 50m.
NB: Japo tumepeleka kosi la 3bln kwa ajili ya 100m ila bila refa mambo yangekua magumu[emoji23]