Ushauri: Kwenye Tsh. Milioni 100 tutakayopata Simba, tusimsahau Refa

Ushauri: Kwenye Tsh. Milioni 100 tutakayopata Simba, tusimsahau Refa

Simba inatia aibu sana, Azam wanaonesha mechi na kila mtu anaona timu ni mbovu, refa kaongeza extra time dkk 6 ila mpira ukachezwa extra time dkk 9! Na kama Simba wasingepata goli la kubebwa mpira ungechezwa hadi usiku wa manane na usingeisha mpaka Simba wasawazishe, halafu mbumbumbu wakashangiliaaaaa! Big up sana marefa wa bongo kuibeba Simba!
Duuhh!!! Hadi wasawazishe!!
 
Nimependa hapo Kwa jitihada za refareee.
Huku kabla ya yote refa ashapikea kitita chake kirefu

cc @Smast911
 
Mm naona jamaa alishapewa pesa zake kabla ya mechi, na waliompa pesa ni kamati yenyewe wala sio mikia, kamati iliona fainali wakicheza alizeti mashabiki watakuwa wachache na amshaamsha zitapungua, na mashabiki baadhi watarudi zao bara/tanganyikA
 
Daaah kumbe ndio ilikuwa target....[emoji23][emoji23] Itakuwa waliumia sana Baada ya Yanga kupeleka kikosi C
 
Hivi mechi ya mshindi wa tatu inachezwa baina ya Nani na Nani maana APR keshajiondokea zake.
 
Uto hamjapiga hesabu vizuri. Mngechukua hiyo 100m mngemwaga kifusi Kaunda au mngepiga rangi lile jengo lenu chafu au mngenunua vitanda size kubwa pale kwenye jengo lenu
Timu ya kwanza Tanzania kuwa na jengo lake ni yanga .
 
Yaaah mkuu...namba 11 pure
basi huwezi lalama sana kwenye issue ya maamuzi hasa kwenye ile kona maana kwa macho ya kawaida na ile movement kidogo kunaugumu kujua kwa 100% kama aligusa ama lah!
ndo maana saovi waamuzi wanawekewa vifaa vya kuwasaidia ili kupunguza ugumu hasa sehemu ambapo hajaona kwa ufasaha au tukio lilimpita.

kwa sisi tuloangalia kwa Tv tunaona hakugusa ila yeye alokuwa uwanjani jasho lilikuwa lamtoka
 
Kwa Simba ni kawaida waamuzi kukosea mkuu..vipi wakina 3 malogo
 
Ila huyu bana...hahahaa ka utopolokwinyo...
Sema hizo 70 tukupe ununue vitendea kazi uzidi kutusemea mpk nje ya mipaka..maana ww na simba ni mtu ni kama tisheti na jinzi..
 
Back
Top Bottom