Ushauri: Landcruiser Prado TX ya 1997.

afrikando

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
242
Reaction score
109
Wadau, naomba kujua wapi ukarabati wa aina hii ya gari Prado TX 1997 unafanyika ili kuirudisha katika hali yake karibu na upya, yaani Service kamili ya kuanzia Engine, Transmission system, Suspension system, body work and paint, car interior pamoja na accessories? Nipo Tanga.
 
Hawa waarabu hawana uswahili wa njoo kesho au kukuibia spare.
Ukiambiwa muda fulani gari itakuwa tayari ukienda unachukua na kuondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli nimehakikishiwa hivyo, Pia nimeshauriwa nifike Toyota Tanzania Ofisi/Garage Tanga, njia ya Bombo nitapata mambo yote hayo niyatakayo kuhusu gari yangu, Nafuatilia ushauri huu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…