afrikando
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 242
- 109
Wadau, naomba kujua wapi ukarabati wa aina hii ya gari Prado TX 1997 unafanyika ili kuirudisha katika hali yake karibu na upya, yaani Service kamili ya kuanzia Engine, Transmission system, Suspension system, body work and paint, car interior pamoja na accessories? Nipo Tanga.