Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,033
Yote ya nini hayo? Ni kurudi tu kwenye mfumo uliokuwapo kabla ya Zanzibar kupewa uanachama wa muda wa CAF.habar za muda huu wana jamii forum kutokana na zanzibar kufuriwa uwakilishi katika caf ni vyema kukawepo na ligi moja Tanzania tofauti na hivi sasa ambapo kunachezwa ligi mbili katika nchi moja
naomba shirika la mpira Tanzania (TFF) kuliangalia na kulishughulikia ambayo ni pamoja na kuongeza timu shiriki katika ligi kuu
Sent using Jamii Forums mobile app