ushauri: ligi kuu bara na zanzibar ziunganishwe iwe moja

Mzalendo39

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
881
Reaction score
1,033
habar za muda huu wana jamii forum kutokana na zanzibar kufuriwa uwakilishi katika caf ni vyema kukawepo na ligi moja Tanzania tofauti na hivi sasa ambapo kunachezwa ligi mbili katika nchi moja

naomba shirika la mpira Tanzania (TFF) kuliangalia na kulishughulikia ambayo ni pamoja na kuongeza timu shiriki katika ligi kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote ya nini hayo? Ni kurudi tu kwenye mfumo uliokuwapo kabla ya Zanzibar kupewa uanachama wa muda wa CAF.
 
Back
Top Bottom