Ushauri: Luhaga Mpina hamia CHADEMA ubunge wa jimbo sio ishu kubwa kuliko kupambania maslahi ya taifa letu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Umeambiwa hadharani kuwa wewe hufai kuwa Mbunge wa jimbo. Hii ni wazi kuwa chama chako hakitakupitisha kugombea.

Wewe kusema kuwa Kisesa inahitaji madaraja na huduma za kijamii kuboreshwa imeonekana unatafuta umaarufu.

Hamia CHADEMA ungana na Lissu na Heche kudai maslahi ya Watanzania.
 
Hawa hata wakihamia baadae wanakuja kukwambia " narudi nyumbani" shubamit acha wamparue
 
Umeambiwa hadharani kuwa wewe hufai kuwa Mbunge wa jimbo. Hii ni wazi kuwa chama chako hakitakupitisha kugombea.

Wewe kusema kuwa Kisesa inahitaji madaraja na huduma za kijamii kuboreshwa imeonekana unatafuta umaarufu.

Hamia CHADEMA ungana na Lissu na Heche kudai maslahi ya Watanzania.
hana sababu ya kuhama 2030 sio mbali, mpina ni kijana anazo nguvu for 20yrs to come
 
Back
Top Bottom