ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Habari wadau
Nishachoka kumaliza hela kwenye matikiti sasa nataka kurudi kwenye kilimo chetu cha asili.
Nataka kulima mahindi ya kuchoma niuzie Dar es Salaam kwahio naomba ushauri sa mambo kadhaa;
1. Bei ya chini kabisa kwa hindi moja mnadani ni kiasi gani na Minada yake yafanyika soko gani hapa Dar? Mauzo mwaka mzima au kwa msimu fulani?
2. Madalali wake ni pasua kichwa kama wale wa matikiti wa Vetenary?
3. Mbegu gani nzuri kwa mahindi ya kuchoma? Yani hindi kubwa na tamu. Ya asili au Hybrid?
4. Pia naomba ushauri wa spacing ili kupata mazao ya uhakika. Niache mche kwa mche sentimenta ngapi na mstari sentimeta au mita ngapi?
5. Mambo gani muhimu kuzingatia?
Tupeane maarifa wandugu, hali ni ngumu.
Natanguliza shukran!