Ushauri: Mahindi ya Kuchoma

Ushauri: Mahindi ya Kuchoma

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari wadau

Nishachoka kumaliza hela kwenye matikiti sasa nataka kurudi kwenye kilimo chetu cha asili.

Nataka kulima mahindi ya kuchoma niuzie Dar es Salaam kwahio naomba ushauri sa mambo kadhaa;

1. Bei ya chini kabisa kwa hindi moja mnadani ni kiasi gani na Minada yake yafanyika soko gani hapa Dar? Mauzo mwaka mzima au kwa msimu fulani?

2. Madalali wake ni pasua kichwa kama wale wa matikiti wa Vetenary?

3. Mbegu gani nzuri kwa mahindi ya kuchoma? Yani hindi kubwa na tamu. Ya asili au Hybrid?

4. Pia naomba ushauri wa spacing ili kupata mazao ya uhakika. Niache mche kwa mche sentimenta ngapi na mstari sentimeta au mita ngapi?

5. Mambo gani muhimu kuzingatia?

Tupeane maarifa wandugu, hali ni ngumu.

Natanguliza shukran!
 
Kwanza hongera sana kwa kufikiria hii biashara. Kwa kuanzia nashauri seriakali iache matamko kwamba kuchoma mahindi ni kusababisha njaa. Kuchoma mahindi kunachochea wakulima kuwa na mbadala wa shughuli za kufanya. Narudi kutoa ushauri
 
Asante Mkuu
 
Hongera kwa kuamua kujikita kwenye kilimo. Kifupi ni biashara nzuri kwa huku kanda ya kaskazini kuna jamaa wakenya wanakuja shambani kabisa mnakubaliana bei wanavuna wenyewe, Hatuna mda wa kupeleka mnadani.
Nakushauri we ingia mzigoni, yakianza beba mahindi anza kutafuta wateja wa jumla anunulie shamba, biashara za minadani nazo zina usumbufu wake.
 
Bado naona hajapata majibu sahihi kwa maswali yake.Naomba wajuzi wa hizi mambo muje mumsaidie ndugu yetu.
 
Unataka kufanya hicho kilimo wapi?
Kama ulikuwa unalima matikiti u aonekana hilo eneo lina maji.

Kama Uko Dar njoo nikupe connection ya kuuza majani ya maharage UK. Ikijaribu ukaona inakulipa mnunuxi anaweza be a tani moja kika wiki na mauzo ni kwa kilo

Nokirudi kwenye swali lako.-
- Bei ya jumla ya mahindi mabichi ni Tshs 200 hapahaijalishi kubwa ama dog.

- mbegu nyingi za kienyeji ambaza ni za mda mfupi mara nyingi mahindi sio makubwa kivile unless ni ya mda mrefu amvayo hsitakufa kwenye biashara
 
Hongera kwa kuamua kujikita kwenye kilimo. Kifupi ni biashara nzuri kwa huku kanda ya kaskazini kuna jamaa wakenya wanakuja shambani kabisa mnakubaliana bei wanavuna wenyewe, Hatuna mda wa kupeleka mnadani.
Nakushauri we ingia mzigoni, yakianza beba mahindi anza kutafuta wateja wa jumla anunulie shamba, biashara za minadani nazo zina usumbufu wake.
Nalimia ukanda wa Pwani kwahio sidhani kama ni sawa kutegemea sana soko hilo, sina uhakika kama soko hilo ni kweli reliable ama linaathiriwa na Siasa za Mahindi. Ningependa sana kupata taarifa kama kuna local market
 
Asante kwa hii taarifa. Je, soko lake ni mwaka mzima au ni kipindi cha mvua na baridi tu? Mfano nkitaka kulima mwaka mzima kwa kumwagilia.
Ni kweli bei ni fixed TZS 200 au inategemeana na kipindi, msimu na size ya tunda?
Soko la mahindi lipo stereo temeke kwa kweli soko lake n kubwa hasa wakati wa kimvua ndio balaa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile
 
Bado naona hajapata majibu sahihi kwa maswali yake.Naomba wajuzi wa hizi mambo muje mumsaidie ndugu yetu.
Asante Mkuu.. tumeshauriwa sana humu ndani kutolima kabla ya kufanya utafiti. Huu ndio utafiti nafanya kwahio natumain wadau watafunguka
 
Space nzuri ni ni 30×90 kwa indi moja moja na 50 kwa 70 kwa mahind mawili kwa hekari yatatoka mashimo zaidi ya 10,000 kwa eneo nilipo mimi wateja ni uhakika yaan uhakika ila wananunulia shamban kwa bei ya 120 had 140 kwa indi moja kwa maeneo ulipo sasa cjui
 
Asante Mkuu. Nalimia Vianzi
 
Space nzuri ni ni 30×90 kwa indi moja moja na 50 kwa 70 kwa mahind mawili kwa hekari yatatoka mashimo zaidi ya 10,000 kwa eneo nilipo mimi wateja ni uhakika yaan uhakika ila wananunulia shamban kwa bei ya 120 had 140 kwa indi moja kwa maeneo ulipo sasa cjui
Unalima mbegu gani? Ya muda wa miezi mi ngapi Hadi kufikia kuchoma?
 
Habari wadau

Nishachoka kumaliza hela kwenye matikiti sasa nataka kurudi kwenye kilimo chetu cha asili.

Nataka kulima mahindi ya kuchoma niuzie Dar es Salaam kwahio naomba ushauri sa mambo kadhaa;

1. Bei ya chini kabisa kwa hindi moja mnadani ni kiasi gani na Minada yake yafanyika soko gani hapa Dar? Mauzo mwaka mzima au kwa msimu fulani?

2. Madalali wake ni pasua kichwa kama wale wa matikiti wa Vetenary?

3. Mbegu gani nzuri kwa mahindi ya kuchoma? Yani hindi kubwa na tamu. Ya asili au Hybrid?

4. Pia naomba ushauri wa spacing ili kupata mazao ya uhakika. Niache mche kwa mche sentimenta ngapi na mstari sentimeta au mita ngapi?

5. Mambo gani muhimu kuzingatia?

Tupeane maarifa wandugu, hali ni ngumu.

Natanguliza shukran!
Mimi nalima matikitii na mahindi kwa pamoja, hii ni mara ya kwanza nalima mahindi kwenye matikitii. Ila ni mzoefu wa kulima matikitii.

Nilishauriwa kua mahindi mazuri kwa kuchoma ni mbegu ya pioneer, hivyo nimelima hayo, nategemea mwezi wa 11 katikati yatakua tayari.

Huku buyuni - kigamboni, naambiwa wanunuzi hua wanayafuata shamba wenyewe, bei ni kati ya 250-300 kwa mahindi mmoja.nadhani ukinitafuta mwezi wa kumi na moja katikati nitakua na maelezo sahiii.

Ila kwenye matikitii ni mzoefu, mimi huwa nauzia soko la temeke stereo. Madalali usipo pata waaminifu ni Majuto.
20210920_080234.jpg
20210920_080007.jpg
 
Mimi nalima matikitii na mahindi kwa pamoja, hii ni mara ya kwanza nalima mahindi kwenye matikitii. Ila ni mzoefu wa kulima matikitii.

Nilishauriwa kua mahindi mazuri kwa kuchoma ni mbegu ya pioneer, hivyo nimelima hayo, nategemea mwezi wa 11 katikati yatakua tayari.

Huku buyuni - kigamboni, naambiwa wanunuzi hua wanayafuata shamba wenyewe, bei ni kati ya 250-300 kwa mahindi mmoja.nadhani ukinitafuta mwezi wa kumi na moja katikati nitakua na maelezo sahiii.

Ila kwenye matikitii ni mzoefu, mimi huwa nauzia soko la temeke stereo. Madalali usipo pata waaminifu ni Majuto.View attachment 1948774View attachment 1948776
Nimi nimepanda pioneer wanasema ni mazuri kuchoma tofauti na DK nataraj uza mabichi mwezi wa 12.
 
Back
Top Bottom