Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Ni yepi yanakuwa makubwa zaidi? Na je yale yanakuwa rangi ya njano yanautwaje?Ulifanikiwa kulima? Mi nalima mbegu ya dk 777, ni mazuri kwa kuchoma ILA pioneer ni mazuri zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yepi yanakuwa makubwa zaidi? Na je yale yanakuwa rangi ya njano yanautwaje?Ulifanikiwa kulima? Mi nalima mbegu ya dk 777, ni mazuri kwa kuchoma ILA pioneer ni mazuri zaidi.
Nani alitoa tamko la kipumbavu kama hilo?!Kwanza hongera sana kwa kufikiria hii biashara. Kwa kuanzia nashauri seriakali iache matamko kwamba kuchoma mahindi ni kusababisha njaa. Kuchoma mahindi kunachochea wakulima kuwa na mbadala wa shughuli za kufanya. Narudi kutoa ushauri