Ushauri: Maisha yamekuwa magumu kutokana na changamoto yangu ya usikivu hafifu, natamani nikimbilie Afrika Kusini nikafie huko!

Alfagems

Member
Joined
May 12, 2024
Posts
46
Reaction score
131
Ndugu zangu wenye Usikivu Hafifu. Mmewezaje kutoka kimaisha? Mwenzenu naona mambo magumu sana. Kazi sina, zingine napata wananitosa, mtaji sina, mpenzi sina.

Natamani nikimbilie South Africa nikafie huko. Nisije nikatia aibu kwenye familia. Sasa simeanza kumuelewa Mpauko kwanini alichukua maamuzi yale. Stress ninaua wanangu.

Kwa Yeyote Atakayekuwa Tayari Tukutane ili tuongee. Nina stress sana ndugu zangu.
 
Pole maisha lazima yaendelee, jikane jifunze kazi za mikono kama welding, aluminum, userelema utatengeza sofa na milango kama ilikuwa bado hujajifunza, kilimo na ufugaji. Pia vipo vifaa vya kupngeza usikivu jaribu kama hujawahi vitumia. Usikate tamaa vikwazo viwe nje yako si ndani yako mwenyewe.
 
Pole sana mkuu...
Umejaribu kuona zile mashine ndogo za kuongeza usikifu kama zitakusaidia?
 
WeeeeWeee hebu fia hapa hapa bana.... Sisi maswala
ya kuchangia mwili urudishwe bongo hatuwezi.
 
Mkuu karibu PM tujadili
 
Kama kwa hali yako umeshindwa kumudu maisha ya Tanzania, usithubutu kunyenyuq mguu na kwenda South Africa. Huko huchukui hata mwezi mmoja utakuwa umeshakufa.
 
Hapana, Tatizo Langu Mimi ni Mishipa ya Ubongo, Kwasababu Nilichomwa Quinin. Sauti Naisikia ila sielewi Aiseee.
Pole sana mkuu...
Umejaribu kuona zile mashine ndogo za kuongeza usikifu kama zitakusaidia?

Pole sana mkuu...
Umejaribu kuona zile mashine ndogo za kuongeza usikifu kama zitakusaidia?
Hapana
 
Upo mkoa gan mkuu
 
Natamani nikimbilie South Africa nikafie huko
Sasa mkuu kama kufa si bora ufie hapa home kuliko kwenda kufia ugenini? Pambana tu mkuu, hata sisi wenye usiku mzuri bado tunapambana na changamoto nyingi!
 
Pambana mdogo wang kufa sio soln ya jambo llte labda kije chenyewe cha umuhim pambana uwapate watu wa ustawi karibu na unapoishi uone jinsi gani wanaweza kusaidia kuliko kufikiria kujiua tena nchi za watu wanaweza upa mbwa huo mwili wako
 
Pole SANA. Hiyo option ya "kufia huko" ondoa KABISA wala usije kuitaja siku nyingine. Hiyo changamoto wanayo watu wengi lkn maisha yanaenda. Pia kuna wenzio wengi wana changamoto kali kuliko wewe na uenda wanasema natamani niwe kama Alfagems lakini wewe hujui hilo. Kuna vifaa vya kuasaidia hilo suala tena vingine bei siyo kali hadi $20 - $50. Nunua, vaa, JIKUBALI usiangalie nani kaniangalia je? Wewe Dunda tu na mambo yatakwenda vizuri tu. Pia sijakuelewa pale uliposema " STRESS NINAUA WANANGU", unataka kuua wanao?!! Kama nihivyo acha kabisa na wanenee wanao mema tu. Mwombe MUNGU atakusaidia, nawe ukiweka juhudi na kujikubali. MUNGU ATAKUSAIDIA
 
Nil
Nilikosea hapo, Nilitaka Kuandika " Stress Zinaua Wanangu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…