Ndugu zangu wenye Usikivu Hafifu. Mmewezaje kutoka kimaisha? Mwenzenu naona mambo magumu sana. Kazi sina, zingine napata wananitosa, mtaji sina, mpenzi sina.
Natamani nikimbilie South Africa nikafie huko. Nisije nikatia aibu kwenye familia. Sasa simeanza kumuelewa Mpauko kwanini alichukua maamuzi yale. Stress ninaua wanangu.
Kwa Yeyote Atakayekuwa Tayari Tukutane ili tuongee. Nina stress sana ndugu zangu.