instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Mfano shule ikipewa Jina la kiongozi huo ni uhifadhi wa historia kwa vizazi vilivyopo na vijavyo.
Shule ikipewa Jina la alama/tunu za Taifa letu ni ulinzi wa historia/utanzania wetu,
Ni vema shule zikaitwa hata majina ya asili ya jamii iliyopo au majina mengine yakisiasa kama umoja, uhuru, mshikamano, ukombozi, Mkwawa A, B C Primary school au chief Magungo Primary school au majimaji A, B, C D primary school.
Siku hizi Kuna majina ya shule hayana vimelea vya ujifunzaji na ufundishaji ni majina ya kifamilia zaidi mfano Asha primary school au Lulu pre& primary school hii hapana.
Ushauri wangu kwa wasajir wa shule hakikisheni majina ya shule yana aksi historia na uzalendo kwa Taifa letu.
Si vibaya ukafungua shule ukaita Mkwawa A primary school na mwngine akaita Mkwawa B primary school chamsingi Jina libebe historia ya Tanzania.
Hivyo hivyo hata kwenye majina ya Marais wetu mfano..... Dr. Samia Suluhu Hassan A primary school na mkoa mwngine ukawa na Dr Samia Suluhu Hassan B primary school kwa lengo la kuwa-inspire wasichana kusoma kwa bidii na kuona kuwa wanaweza na wananafasi kubwa ya kuwa viongozi Bora