Ushauri Makadirio ya upauaji

Ushauri Makadirio ya upauaji

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
2,050
Reaction score
2,651
Heri ya mwaka mpya ma great thinker!.
Naombeni ushauri wa material za kupaua kama zatosha kwa nyumba ya sqm 179.
Bati 140 ft 10 alaf
Bati 10 za kofia
Mbao 350
Wire Kech pc 10
Misumari bati 25kg
Misumari kench inch 4 25kg
Inch 5 15kg
Inch 3 2kg
Inch 2 1kg

Fisher board mbao 30
Je kwa makadirio hayo hapo juu natoboa kamili au nijipange kwa suprise!.
 
Heri ya mwaka mpya kiongozi!,ujenzi wa nyumba kubwa una faida sana kutajirisha wauza mabati na vifaa vya ujenzi kuliko mwenye nyumba!
Hakunaga tuzo kuwa na nyumba kubwa!,ungejenga nyumba ya kuingia mabati 50 hadi 60 usingeanzisha uzi kama huu [emoji851]ila usijali mkuu sisi wanyiramba huwa hatuna kufichaficha vitu tumenyooka kama rula
 
Ha haaaa usijali mkuu.Tuko pamoja ila si kubwa kivile
 
Heri ya mwaka mpya ma great thinker!.
Naombeni ushauri wa material za kupaua kama zatosha kwa nyumba ya sqm 179.
Bati 140 ft 10 alaf
Bati 10 za kofia
Mbao 350
Wire Kech pc 10
Misumari bati 25kg
Misumari kench inch 4 25kg
Inch 5 15kg
Inch 3 2kg
Inch 2 1kg

Fisher board mbao 30
Je kwa makadirio hayo hapo juu natoboa kamili au nijipange kwa suprise!.
Mkuu bahati nzuri ,kwenye nyumba yangu ya kwanza nilijiongeza sana kujua pesa niliyonayo na nini nataka, hizo bati ni nyingi sana ati ila pambana tu
 
Ooh sawa mkuu nashukuru.Nilishajikusanya na bati zipo ndani sema hofu yangu ni kuwa kama zikipilea maana ndio najipanga nipaue sasa.
 
Heri ya mwaka mpya kiongozi!,ujenzi wa nyumba kubwa una faida sana kutajirisha wauza mabati na vifaa vya ujenzi kuliko mwenye nyumba!
Hakunaga tuzo kuwa na nyumba kubwa!,ungejenga nyumba ya kuingia mabati 50 hadi 60 usingeanzisha uzi kama huu [emoji851]ila usijali mkuu sisi wanyiramba huwa hatuna kufichaficha vitu tumenyooka kama rula
🤣🤣🤣🤣we jamaa dah
 
Wanyiramba sawa na kwa zile nyumba zenu za Udongo kule Manyoni ni sahihi unachosema.
 
Heri ya mwaka mpya ma great thinker!.
Naombeni ushauri wa material za kupaua kama zatosha kwa nyumba ya sqm 179.
Bati 140 ft 10 alaf
Bati 10 za kofia
Mbao 350
Wire Kech pc 10
Misumari bati 25kg
Misumari kench inch 4 25kg
Inch 5 15kg
Inch 3 2kg
Inch 2 1kg

Fisher board mbao 30
Je kwa makadirio hayo hapo juu natoboa kamili au nijipange kwa suprise!.
Inatoboa kama bati ni zile pana kama ni zile nyembamba jiandae kuongeza bati chache

Sent from my SM-A326B using JamiiForums mobile app
 
Heri ya mwaka mpya ma great thinker!.
Naombeni ushauri wa material za kupaua kama zatosha kwa nyumba ya sqm 179.
Bati 140 ft 10 alaf
Bati 10 za kofia
Mbao 350
Wire Kech pc 10
Misumari bati 25kg
Misumari kench inch 4 25kg
Inch 5 15kg
Inch 3 2kg
Inch 2 1kg

Fisher board mbao 30
Je kwa makadirio hayo hapo juu natoboa kamili au nijipange kwa suprise!.
Sqm 179 ni nyingi, hizo bati 140 hazitoshi kumaliza kazi. Ongeza bati 40
 
Back
Top Bottom