FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Ha haaaa usijali mkuu.Tuko pamoja ila si kubwa kivileHeri ya mwaka mpya kiongozi!,ujenzi wa nyumba kubwa una faida sana kutajirisha wauza mabati na vifaa vya ujenzi kuliko mwenye nyumba!
Hakunaga tuzo kuwa na nyumba kubwa!,ungejenga nyumba ya kuingia mabati 50 hadi 60 usingeanzisha uzi kama huu [emoji851]ila usijali mkuu sisi wanyiramba huwa hatuna kufichaficha vitu tumenyooka kama rula
Sawa mkuu wacha tuvute subiraNgoja waje kukupa muongozo...
Wastani inatakiwa iwe range ipi mkuu?duh sqm 179 , hilo ni kanisa
Mkuu bahati nzuri ,kwenye nyumba yangu ya kwanza nilijiongeza sana kujua pesa niliyonayo na nini nataka, hizo bati ni nyingi sana ati ila pambana tuHeri ya mwaka mpya ma great thinker!.
Naombeni ushauri wa material za kupaua kama zatosha kwa nyumba ya sqm 179.
Bati 140 ft 10 alaf
Bati 10 za kofia
Mbao 350
Wire Kech pc 10
Misumari bati 25kg
Misumari kench inch 4 25kg
Inch 5 15kg
Inch 3 2kg
Inch 2 1kg
Fisher board mbao 30
Je kwa makadirio hayo hapo juu natoboa kamili au nijipange kwa suprise!.
Ooh sawa mkuu nashukuru.Nilishajikusanya na bati zipo ndani sema hofu yangu ni kuwa kama zikipilea maana ndio najipanga nipaue sasa.Mkuu bahati nzuri ,kwenye nyumba yangu ya kwanza nilijiongeza sana kujua pesa niliyonayo na nini nataka, hizo bati ni nyingi sana ati ila pambana tu
🤣🤣🤣🤣we jamaa dahHeri ya mwaka mpya kiongozi!,ujenzi wa nyumba kubwa una faida sana kutajirisha wauza mabati na vifaa vya ujenzi kuliko mwenye nyumba!
Hakunaga tuzo kuwa na nyumba kubwa!,ungejenga nyumba ya kuingia mabati 50 hadi 60 usingeanzisha uzi kama huu [emoji851]ila usijali mkuu sisi wanyiramba huwa hatuna kufichaficha vitu tumenyooka kama rula
Ya kwangu nina 220+ nilitumia bati 200 mbao kama 600+. Ilinitoa jashoduh sqm 179 , hilo ni kanisa
Wanyiramba sawa na kwa zile nyumba zenu za Udongo kule Manyoni ni sahihi unachosema.Heri ya mwaka mpya kiongozi!,ujenzi wa nyumba kubwa una faida sana kutajirisha wauza mabati na vifaa vya ujenzi kuliko mwenye nyumba!
Hakunaga tuzo kuwa na nyumba kubwa!,ungejenga nyumba ya kuingia mabati 50 hadi 60 usingeanzisha uzi kama huu [emoji851]ila usijali mkuu sisi wanyiramba huwa hatuna kufichaficha vitu tumenyooka kama rula
Hatar mkuu. So hapo naweza toboa ee?Ya kwangu nina 220+ nilitumia bati 200 mbao kama 600+. Ilinitoa jasho
Yeah ila bati utaongeza kidogoHatar mkuu. So hapo naweza toboa ee?
Kwahiyo hii ya kwangu ya sqm 670 niendelee kuumwagilia moyo?Ya kwangu nina 220+ nilitumia bati 200 mbao kama 600+. Ilinitoa jasho
Kipato chako ndio mwamuziKwahiyo hii ya kwangu ya sqm 670 niendelee kuumwagilia moyo?
Inatoboa kama bati ni zile pana kama ni zile nyembamba jiandae kuongeza bati chacheHeri ya mwaka mpya ma great thinker!.
Naombeni ushauri wa material za kupaua kama zatosha kwa nyumba ya sqm 179.
Bati 140 ft 10 alaf
Bati 10 za kofia
Mbao 350
Wire Kech pc 10
Misumari bati 25kg
Misumari kench inch 4 25kg
Inch 5 15kg
Inch 3 2kg
Inch 2 1kg
Fisher board mbao 30
Je kwa makadirio hayo hapo juu natoboa kamili au nijipange kwa suprise!.
Shukran mkuu kwa tathmini yako. Hapo inabidi niwe naka balance ka dharura kabisaInatoboa kama bati ni zile pana kama ni zile nyembamba jiandae kuongeza bati chache
Sent from my SM-A326B using JamiiForums mobile app
Sqm 179 ni nyingi, hizo bati 140 hazitoshi kumaliza kazi. Ongeza bati 40Heri ya mwaka mpya ma great thinker!.