Nimejenga nyumba ya sqm 174 awali nilinunua bati 150 za futi 10 migongo membamba hazikutosha, ikanibidi niongeze bati 25 na haikubaki hata moja zaidi ya vipande. Ila nadhani ni kwa sababu bati zilikatwa sana kutokana na muundo wa paa.
Muundo wa paa ni kama unavoonekana hapo.
View attachment 2476977