Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 111
- 223
Wakuu ni kama mawazo maoni au ushauri.
Kuwepo na baadhi ya makanisani ya umma yenye majina makubwa Jumapili sadaka ya jumla ikisomwa si chini ya million 3, 5, adi kumi kwa yalio mjini, ila usafi unafanywa na waumini kwa kupitia jumuia.
Utakuta jumuiya flani ina zamu ya usafi, pesa zote zinazo kusanywa zinashidwa kuweka kampuni ya usafi?