Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 111
- 223
Wacha tushiriki kusafisha nyumba ya Bwana!Wakuu ni kama mawazo maoni au ushauri.
Kuwepo na baadhi ya makanisani ya umma yenye majina makubwa Jumapili sadaka ya jumla ikisomwa si chini ya million 3, 5, adi kumi kwa yalio mjini, ila usafi unafanywa na waumini kwa kupitia jumuia.
Utakuta jumuiya flani ina zamu ya usafi, pesa zote zinazo kusanywa zinashidwa kuweka kampuni ya usafi?
Wakuu ni kama mawazo maoni au ushauri.
Kuwepo na baadhi ya makanisani ya umma yenye majina makubwa Jumapili sadaka ya jumla ikisomwa si chini ya million 3, 5, adi kumi kwa yalio mjini, ila usafi unafanywa na waumini kwa kupitia jumuia.
Utakuta jumuiya flani ina zamu ya usafi, pesa zote zinazo kusanywa zinashidwa kuweka kampuni ya usafi?
Huku katoro tuna zamu za kupeleka makopo ya maziwaUsafi na Kutumikia pia ni Ibada...!
Yule anayeweza kufanya Ibada hii Aachwe aifanye.
Ni Baraka kubwa Kumfanyia Mungu Usafi sehemu ya kufanyia Ibada. Unatoa Sadaka ya Muda Wako na nguvu zako pia...!
Kumbuka Wapo ambao nguvu ya Michango au Sadaka Ya Fedha hawana sana, Wanachoweza kufanya ni kujitolea mtaji wa nguvu na Muda... Mungu pia anawabariki kupitia Sadaka hii..!
Fanya Usafi Wewe, acha janja janja
🤣🤣🤣 ukute umeanzisha kikampuni chako cha usafi halafu huna ramani. anyway hizo ni mambo ya imani ndiyo maana hakuna adhabu kama hutoshiriki.Wakuu ni kama mawazo maoni au ushauri.
Kuwepo na baadhi ya makanisani ya umma yenye majina makubwa Jumapili sadaka ya jumla ikisomwa si chini ya million 3, 5, adi kumi kwa yalio mjini, ila usafi unafanywa na waumini kwa kupitia jumuia.
Utakuta jumuiya flani ina zamu ya usafi, pesa zote zinazo kusanywa zinashidwa kuweka kampuni ya usafi?
Aanze kwa kujitolea,ndipo aanze ushawishi, biashara ni matangazo!🤣🤣🤣 ukute umeanzisha kikampuni chako cha usafi halafu huna ramani. anyway hizo ni mambo ya imani ndiyo maana hakuna adhabu kama hutoshiriki.
Huku katoro tuna zamu za kupeleka makopo ya maziwa
Endeleen kuliwa mnapalilia taasisi za wenzenu zinako pelekwa sadakaWacha tushiriki kusafisha nyumba ya Bwana!
Ni majitoleo. Hujashkiwa fimbo. Kama hutaki acha! Kanisa lipo, litakuwepo, wewe utaondoka.Wakuu ni kama mawazo maoni au ushauri.
Kuwepo na baadhi ya makanisani ya umma yenye majina makubwa Jumapili sadaka ya jumla ikisomwa si chini ya million 3, 5, adi kumi kwa yalio mjini, ila usafi unafanywa na waumini kwa kupitia jumuia.
Utakuta jumuiya flani ina zamu ya usafi, pesa zote zinazo kusanywa zinashidwa kuweka kampuni ya usafi?
Kuna baraka nyingi ukifanya kazi ya BWANA hiyo ni sadakaWakuu ni kama mawazo maoni au ushauri.