Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

dah,
mkuu ubarikiwe sana kwa huu ushauri mujarabu
 
Kweli kabisa...
Mm nasema ni kutokuwa makini na kutokuwa wazalendo na inchi yetu...

utauzaje utaifa wako kwa vipesa vidogo tu?ona now matokeo yake ni kuwekwa viza kila mahala....
Kupekuana ndy usiseme,,
ukiwa na Tanzanian passport holder...huko mbele ya uso wa Dunia.....USIONE AJABU KUPEKULIWA.....

Nakumbuka siku niliyofika Italy...
nikakaa kama two days... Pale Napoli..

Halafu nikaenda Barcelona.. Si unajuwa huku ukiwa na viza ya shengen unaruka tu..au hata kwa bus.. Au meli au train..
Nimeenda Spain..narudi Napoli nawekwa pembeni na ant drugs ..wa Italy,....
baada ya kuona passport yangu wakaniuliza ....Spain nilifatata nn?nikawaambiya , nilikwenda kuruka majoka,,...Mimi seaman...now nafata meli yangu hapa..

jamaa wakanambiya tuna wasiwasi na wewe.. Kwamba umebeba Marufuku,...
duu..wakaanza ngoja aje lawyer uweke sign tukupeleke kukupima,,

.umeona wazungu wanavyofata Sheria?
hawakutaka kunipeleka kunipima X-ray kwa nguvu....

AJE LAWYER... niwekee sign ndy wakanipime.....
duu..nikawaambiya tusipoteze muda...
twendeni now...wakashauriana kwa muda na baada ya interview ya kama dako 30 hivi..
si unajuwa Mabaharia tena mambo ya mahojiano kama haya tumeyazoea....
English inatoka tu...hatutumii nguvu..... wakanichek kwenye system yao ya blacklisted... Wakaona simo...
basi wakaniruhusu kujimwaga Napoli...

kama week nilirudi Barcelona tena..
ila kama nafsi yako haijazoea misukosuko kama hii unaweza usisafiri...tena,,

Passport yetu ya tanzania Kwa sasa siyo.
 
Jamani wataalam hasa wa mambo ya Afya, IT , Mining n.k kama alivyoshauri mdau pale juu tafuteni kazi hata ndani ya Afrika , niliwahi kufika kisangani DRC nikakuta kuna wabongo wako kwenye mashirika baadhi wanalipwa hadi USD 15000 per month japo ni wachache lakini walisema watz wengi uoga , mtu kwa mfano umepewa taarifa hapa bado unataka ukaulize mengine PM
 
Kuna jamaa ang mmoja alinishawishi niombe kusoma Uchina, anasema wanalipa mpk 1.3 mlns kwa mwezi nikashawishika ukilinganisha mshahara unazid kupungua baada ya loan board kuongeza makato kwa 15% ndo nikapata hasira zaidi nikimbie tu hata uchina. Ila nimeshaomba UK na Australia ambapo nategemea. Ingawa Mimi lazima nirud nyumban after school.
 
hahahah, mkuu ukienda ukumbuke kurudi bwana yule akupe acres dodoma uanze kuchuma za hapa hapa tz😀😀
bwana yule ana kisirani hadi mvua zimegoma, wakulima wa zabibu wanali ukata. acha nikimbilie catania
 
Reactions: Qj_
Vipi umeshapata?
 
Mkuu hiyo 1.3m bora uitafute bongo tu maana hiyo ni around dollar 650 kwa mwezi hapo kutoboa ni kazi ndio maana wasomi wa china wanarudi bongo wakiwa hoi kiuchumi.
 
Mwandende,Vietnam wanatengeza viatu bora sana pale ukienda ni kiwanja sana yupo Mtanzania pale kazi yake ni kupeleka viatu China na msomari wanafanya vizuri sana hapo Cambodia ndio wanaongoza kutengeneza Saa hizi bora za Matumizi kwa Ulaya viwanda vingi vya Mataifa ya Nje Wakenya ndio wamepata mapema taarifa za Hizo Nchi wana ndege inaenda straight Vietnam kwa mtu mwenye mtaji wa kuanza maisha huko ni bora uende nchi za Asia huko kuliko Ulaya hakuna vitu sana...
 
Apart from each and everything ukisafiri bwana unajifunza mambo mengi sana kwenye nchi za watu, nilisafiri Dubai for almost 3 months just to visit and refresh my mind, kitu nilichojifunza kule watu wanafanya kazi kama hawana akili nzuri, watu wanaenda makazini mpaka jumapili, kitu kingine tofauti na matarajio yangu Kule watu wanaishi kwa kujibana sana tofauti na nilivyofikiria kuwa watu wanakula bata sana, Dubai accommodation is very expensive unakuta chumba kimoja wanakaa watu wanne mpaka sita yani humo humo wasichana na wavulana, in short watu wanajinyima ili wa make money, kitu kingine chakula is very cheap n affordable, ukienda Dubai then ukalala na njaa nitakushangaa sana.

Upweke kama ulivyosema ndo challenge kubwa sana, unakuta sometimes unakaa unakumbuka home mpaka unatamani kulia, though kuna access ya wifi that you can do and watch kila kitu kinachoendelea ulimwenguni but still loneliness is there ,marafiki hakuna kabisa, sema ikifika wakati wa kula bata walahi unasahau kama una familiar nyumbani, Dubai is awesome, kuna na malls ya kutisha in short Dubai is the place you should be but sio kwa kuzamia, utaumbuka mchana kweupeee

Kitu kingine wale watu wana sheria kali sana aiseeh, kule hakuna wizi wa kijinga kijinga, waarabu wanapenda sana na kuheshimu dini, ikifika ijumaa tu saa sita kila kitu kinafungwa, maduka yote yanafungwa wanakimbilia msikitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…