Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Na wao wanataka fee ya shingapi? Mtego huo.Wadau kuna hawa jamaa wako kariakoo wanasema ukifika jengo la infinix uwapigie wanakupa mchongo wa majuu wako facebook ,visa yako ,passport yako nauli yako je ni wakweli?