Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza


Mbona wengi wanao sema NI waKenya,waKongo waBurundi Au waGanda
Matatizo yakikutokea hao wenyeji wako wataanza kutafuta WaTanzania wamsaidie ndugu Yao.Ukweli wengi wanasaidiana.
WaTanzania wengi ambao wa nje walianza Na mmoja mmoja huyu kaalikwa baadaye kamualika ndugu yake Halafu kamoja roho ya kwanini hataki kusaidia NDIO inakuwa sura ya WaTanzania wote wabaya.
Segito Mbona Wewe unawasaidia WaBongo wengi inamaana hujadhulumiwa?au kutukanwa Na hao unao Au ulio wasaidia?
Lakini roho yako haibadilishwi Na mtu.
Ubarikiwe sanaaaaa tu
 
Reactions: SDG
mkuu Izzo mimi bado nipo nasubir ututajie hiko chuo! nipo interested na hyo kozi na nina MD tayari nadhani itakuwa rahisi kwangu.
o
 
kiukweli mimi nilipata matatizo nchi za wenyewe.ajabu na kweli nikaokolewa na mnaigeria.jinsi nilivyojimix nao nilipata ujasiri ambao sikuwai kujua ninao.nilikomaa mpaka nikasimama tena kwa msaada wa wapopo na wakenya.nashukuru sijawahi kulizwa na baadhi ya niliowasaidia sababu ni mtu makini na huwa napenda kumjenga mtu ninayempokea ajitegemee.vijana wengi wa kibongo mentality yao wamezoea mizinga na tamaa za kuwa na vitu vizuri kwa muda mfupi.wengi wao hawana uvumilivu wala malengo ya muda mrefu.mtu anakwambia anataka kuzamia ila maajabu hajui kesho yake itakuaje.ndio 7bu wakifika kwa watu wanakuta mambo ndivyo sivyo inakua msala.
 

Mkuu naomba ufafanuzi hapo kama hautojali
 
Wewe ni mtoto wa kike lakini unaonekana jasiri sana umekua katika maisha ambayo si ya lele mama.
kama tuwaonavyo wadada wengi wao ni waoga sana kutake risk kwenye inshu kama hizi.
 
tatizo umeshakua na corrupted mind hadi hauwazi sawa sawa.imagine,umekuja newcomer,una beg la nguo zako mbili tatu za kariakoo afu unapokewa na vijana wenzio ambao wameshaishi muda mrefu,wana vitu vyenye majina nani ataeogopa mwenzie asimuibie?wewe newcomer? au wenyeji wako ndo wakuogope wewe?pesa utakua nazo kwenye card yako.nani atachukua kadi yako wakati unayo muda wote na password waijua mwenyewe?Kama umetumwa kukatisha watu tamaa,shindwa ktk jina la Yesu
 
hii thread ningeipata kabla sina vijana wangu hapa hasa huyu anayenyonya ningeshaondoka na nguo niliyovaa tuu ila sasa nikiwaangalia niende mpaka nisettle ndio niwachukue napata wakati mgumu sana

Kuna kipindi tulipataga mwaliko marekani kwenye hotel moja ya huko Maryland. tungetakiwa kutumia h2b visa ikakutana na september 11 ile issue ya pentagon wakablock passport baada ya mwaka tukaanza tena kufuatilia mmh issue ikagoma tena mpaka leo nimebaki na document na passport ambayo hata haijawahi vuka boarder na imeisha muda wake

Kupitia uzi huu nadhani mtu unaweza kwenda provided u have enough cash u can make it. Au kuna muungwana anaweza kunisaidia na watoto wangu haaa haaaa
 
mmmh mmh watoto ni gharama sana bora uwaache ukiwa sawa unawaitisha.
 
mfano,mimi nataka niende arabuni ili pesa ntazopata niweze kununua shamba la miti au nataka niende ulaya ili pesa nitayopata huko niweze kuwajengea wanangu nyumba ili hata nikifa au kurudishwa bongo kwa sababu yoyote nipate pa kufikia.umenielewa?
Nimekupata mkuu...ambaye hawazi future yake ni mfu anayetembea
 
Reactions: SDG
 
Umeona Ladypeace embu tufanye kushauriana njia gani tuzitumie kurahisisha hili suala la ambao tuko tayari kwanza kupambana na hii option ya pili maana ndiyo kama kindergarten yetu ya kupata mwelekeo wa kutimiza lengo letu haswa la kuruka majuu
Tuchague kiongozi wa muda kutuunganisha kwenye group moja kila mkoa wawe na group lao na kiongozi wao hapo ndo kuweka kikao cha utambulisho mwisho viongozi wote wa mikoa wakutane wachague kiongozi/ mratibu na mpokeaji.
 
Mkuu Izzo kidogo nina idea kuhusu hizo issue ya za occupational health and safety coz nipo kwenye kampuni inayotarajia kupata ISO AND OH&S CERTIFICATION, so huwa nahudhuria mafunzo hayo pia nina degree.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…