Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu hii inanisumbua namna ya KUJISAJILI
 
Reactions: BAK
Mkuu sina cha kuongea. Hii ni bahati nasibu ya kupata green card ya kumuwezesha mtuma maombi kuhamia USA. Kuna Watanzania wengi tu walijaribu bahati zao na baadhi wakafanikiwa, baadhi yao nawafahamu. Fuata masharti yote katika link husika niliyoiweka hapo juu pia uwepo umakini mkubwa kwenye tarehe husika ambazo nimeziwekea rangi nyekundu. Kila la heri na baraka Mkuu.

BAK HEBU ONGEA KIDOGO KUHUSU HILI BANDIKO.
 
Poa poa thanks.
 
Reactions: BAK

Mkuu BAK umefanya jema kututangazia hizo patapotea(green card lottery)

Chakuongezea kuhusu US green card lottery tovuti (website) ziko nyingi za kitapeli Muhimu
Iwe .GOV (government) www.us department of states.gov.dvlottery
Hii tovuti NI bure kabisa ukiulizwa pesa [emoji125]kimbia.
Ukijaza hizo forms kwenye (smart phone) Au I pad Au kumputer lazima uandike kwenye kitabu ili ukumbuke maana maswali ya hizo forms yatarudia Tena.
Picha NI Muhimu sanaaaaa tu.Kama unaishi Dar nenda sehemu za karibu Na posta ziko studio ambazo wanapiga picha zinazo takiwa kwenye hizo form na watakuwekea kwenye flash au wataku e mail Au waambie unataka kuzituma Kwenye form za (green card lottery)
Bei sijui Lakini uwe Na sh.10k
Kama forms huzielewi leta jukwaa hili
Wako wataalamu watasaidia.
Jamani hizi ndio fursa jaribuni NI bure kabisa
Gharama ni kwenye picha tu.
USAJILI UTAANZA TAREHE 02 mwezi wa tano
MAY 02 2017
Kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…