Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Naunga mkono hoja,lakini Nina mashaka huyu kenge humu anaweza kuja kivingine huko watsup,vile vile tusiache kujadili mambo mbalimbali ambayo mtu atayapata,ambayo yatakuwa na manufaa kwa jf,kuundwa hilo group kusiwe mwisho wa huu uzi,ni vizur michango ya maoni mbali.mbali ya watsup yaje yajadiliwe pia humu ili kusudi tuweze kupata hitimisho zuri,link na makolokocho mengine msiache kuyaweka humu,ili kama kuna kina kelvin isaya tuwajue LAST LING OF USCOCH
 
Hiki kitu nimekifuatilia sana, na kipindi chote nilichokuwa kimya humu nilikuwa nafuatilia hili suala kwenye mifumo yake ikiwemo kuangalia waliotutangulia jinsi wanavyojiendesha,
majibu tafadhari ya findings zako bro...
 
Nami naunga mkono hoja. Kama watu watakuwa wapo free basi mchakato wa kumteua mtu ili atoe muongozo wa nini cha kufanya ikiwemo mapendezo basi ufanyike
tuna anza sasa au tuna anza lini au tuna anza anzaje... kwa style gani mkuu... tutume number PM utuunge mkuu au utaratibu ni upi hapo mkuu...
 
Kwa kweli hakuna kama nyumbani!Nimeishi na nimetembelea nchi zote ambazo umezitaja hapo juu.Lakini inasikitisha dharau,ubaguzi na kodi unazotozwa ukiwa ndani ya nchi hizo.Unapoondoka au kuoa mwanamke wa kwao hapo dnipo dharau na ubaguzi unapooneshwa live.Mwanamk mweupe hawzi ishi nawewe maisha yake yote,ataangalia zaidi nini unacho.Wengi wanataka wapate mtoto au watoto "breeding bull",halafu hapo biashara yako imetoka.Hupti kazi ya kipato kikubwa,na usalama wako dhidi ya chemicals na polisi uko mashakani.Huwezi ongea chochote mbele yao,labda tu pale unapokandia serikali yako,au watu weusi wenzio.Kuna baadhi ya sehemu ambazo hili halionekani sana,kama vile Washington DC.
 
Kabisa mkuu, kwa asilimia kubwa mwangaza umetolewa humu mtu akiutumia atafanikiwa... mfano kuna wengi wanatamni kwenda south na mkuu segito wa kalenga ametoa mwaliko na anaishi huko watu wajiongeze.... mfano south ukiwa na passport ni kukata ticket tuuu mengine unaongea na mwenyeji basi... tusiwe waoga wote waliokwenda huko wengine hawakuwa na ndugu achilia mbali rafiki.
 
Haha kweli mkuu... Si unaona hapa mtu anamkarisha tamaa mwenzie ooh Huku hivi na vile hapohapo yeye bado yupo huko....

Ni kweli usemayo si rahisi mbongo akukaribishe kwake huko Ulaya hapo atakukwepa sana....
Kweli kabisa mkuu, nina ndugu yangu kazamia ujerumani huu Kama mwaka wa 20 na kapata urai kabisa, huku nyumbani kasimamisha mijengo kadhaa.

Kila Mara tunachati sana na kujuliana hali, kuna siku nikamchomekea vipi nataka na Mimi nizamie huko, hii kazi yangu nayofanya Pesa haitoshi yote inaishia mdomoni tu na maisha yanaendelea kubana. Akasema naomba nikushauri bora ubaki Tanzania usije ukajaribu kuwaza kuja huku, manyanyaso, ubaguzi, kazi hakuna...... Dah!! Nikajiuliza huyu kukaa zaidi ya miaka 20 kama yangekuwepo matatizo hayo siangekuwa karudi? Watanzania watu wa ajabu sana
 
Haha ndo wabongo tulivyo... huwezi mshauri mtu eti ulimwengu wa tatu kuzuri kuliko ulimwengu w kwanza!! ni wivu na roho mbaya tu zimetujaa.
 
Nami napendekeza akina Daby STUNTER na lusungo watuunge kwenye group la whatsup.

Hili wazo la group whatsup ni zuri.Kitu kimoja cha Muhimu kikumbukwe tuko JF Na IDfake Kwa sababu za kiusalama wetu.Tunatafautiana kisiasa Na kila kitu Isipokuwa UZALENDO Na KUSAIDIANA.:mpaka sasa wachangiaji wa uzi huu tumekwisha ona CV za tabia Na juhudi za wachangiaji wote.Wanao sikilizana Na kuaminiana wafungue group za whatsup.
Mimi naona tuchangie humu humu hata Kwa wale wanao chafua hali ya hewa wanufaike.
Maana mvua ikinyesha Hata adui yako atapata.
Hakuna kuogopa hata wakituita tusi lao kubwa
(Matapeli)
Aluta continua
 
Hahaaaaaaa umenichekesha sana
 
Mkuu lomayani asante kwa ushauri.

Swali naomba nikuulize. Kwa hiyo unatushauri tusiende?

Naona umetaja umetembelea nchi nyingi sasa kwa huo ubaguzi kwanini uliendelea kutembelea nchi nyingi zaidi kwa hiyo hali uliyokuwa unakutana nayo? Kwanini usingebakia Tanzania?
 
wazo zuri mkuu, thumb up
 
Mkuu Daby mimi nadhani wala usiumize kichwa chako kusubiri jibu hapo, cha msingi nikufanya maamuzi tuu. kwani mpka sasa njia tumeonyeshwa hapa ni sisi kushikamana kwa namna yoyote ile ili tuwaonyeshe ndugu zetu walioonyesha nia ya kutusaidia sisi wenye nia ya kwenda n'gambo kuwa tumeamua kwa nia moja hata kuchangiana ili kuwatoa wenye mapungufu ya nauli na mambo mengine ili kuonyesha nia na dhamira yetu kuwa ni njema na si vinginevyo binafsi niko tayari hata kuchangia michango ya kuwatoa waliotayari kuondoka ili wakasome ramani huko mbele.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
wazo pia zuri mkuu
 
Reactions: BAK
Hawa ndo tusio wataka humu kaz yao kurudisha watu nyuma.ww km waona Tz kuzur kuliko huko baki hatukalaumu course mindset yako ya ubongo imekaa kuhudumiwa hudumiwa na ninamashaka na ww sijui km unaishi bongo ww. Nasema tuwache narudia tena tuwachee na uzi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…