Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mwaga mboga mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello there !!

Pamoja na kwamba moderators wametoa thread ya mwanzoni sababu ya CHUKI Binafsi au baadhi ya watu wenye chuki binafsi wanataka wengine tuendelee kua masikini na kulia shida ila wao waendelee kutesa kwa zamu wameripoti uzi huo ufutwe, nmefungua tena thread hii upya.

Group hilo whasapp tutasaidiana kwa kupeaana habari na taarifa mbalimbali zitakazotusaidia kuweza kufanikiwa kupata na hatimaye kufanya kazi nje ya nchi(OVERSEAS), tazama pale inavyopendeza kijana anayeishi nje ya nchi miaka na miaka hata kama ni michache ambaye ameshapata exposure ya kutosha akimsaidia kijana aliye nchini anayehitaji kupata exposure hio kuliko kua na akili mgando kwamba maisha ni hapa hapa nchini.

Group la whasapp lipo, karibu Pm kama una mlengo sawa na niliyoandika hapo juu nikupatie. Sababu ya kufanya hivi ni kuzuia watu wasio na maana wanaoingia tu kwa sababu zao zingine, link is supposed to be shared na watu trusted na sio kuweka ovyo kila mtu aingie tu.

Pia wadau wa huu uzi mnakaribishwa

https: //www.jamiiforums.com/index.php?threads/1210772/

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ndo unaishi kule kwa akina Puff Dady nini? ilo yai sio la ukanda wa akina jiwe. [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello there !!

Pamoja na kwamba moderators wametoa thread ya mwanzoni sababu ya CHUKI Binafsi au baadhi ya watu wenye chuki binafsi wanataka wengine tuendelee kua masikini na kulia shida ila wao waendelee kutesa kwa zamu wameripoti uzi huo ufutwe, nmefungua tena thread hii upya.

Group hilo whasapp tutasaidiana kwa kupeaana habari na taarifa mbalimbali zitakazotusaidia kuweza kufanikiwa kupata na hatimaye kufanya kazi nje ya nchi(OVERSEAS), tazama pale inavyopendeza kijana anayeishi nje ya nchi miaka na miaka hata kama ni michache ambaye ameshapata exposure ya kutosha akimsaidia kijana aliye nchini anayehitaji kupata exposure hio kuliko kua na akili mgando kwamba maisha ni hapa hapa nchini.

Group la whasapp lipo, karibu Pm kama una mlengo sawa na niliyoandika hapo juu nikupatie. Sababu ya kufanya hivi ni kuzuia watu wasio na maana wanaoingia tu kwa sababu zao zingine, link is supposed to be shared na watu trusted na sio kuweka ovyo kila mtu aingie tu.

Pia nakukaribisha wewe ambaye una exposure ya nje ya nchi au uko nje ya nchi, unaweza kua msaada sana kwa wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BOMU HILI
 
Ukivuka nipigie tafu na mm mkuu
Ndio napigania kufunga ndoa ya kuzugia na demu mmoja rafiki yangu sana. Then mkataba wetu nikifika huko nijichanganye kitaa mwenyewe kupisha mishe. Na maelekezo aliyonipa nikusomea uendeshaji wa forklift zile za viwandani na bandarini kwani kazi zake ni za nje nje na unalipwa kwa masaa.
 
All the best
 
Group la whasapp tunasaidiana kwa kupeaana habari na taarifa mbalimbali zitakazotusaidia kuweza kufanikiwa kupata na hatimaye kufanya kazi nje ya nchi, tazama pale inavyopendeza kijana anayeishi nje ya nchi miaka na miaka hata kama ni michache ambaye ameshapata exposure ya kutosha akimsaidia kijana aliye nchini anayehitaji kupata exposure hio kuliko kua na akili mgando kwamba maisha ni hapa hapa nchini.

Group la whasapp lipo, karibu Pm kama una mlengo sawa na niliyoandika hapo juu nikupatie. Sababu ya kufanya hivi ni kuzuia watu wasio na maana wanaoingia tu kwa sababu zao zingine, link is supposed to be shared na watu trusted na sio kuweka ovyo kila mtu aingie tu.

Pia nakukaribisha wewe ambaye una exposure ya nje ya nchi au uko nje ya nchi, unaweza kua msaada sana kwa wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vip mkuu ulishafunga ndoa na uyo mlami?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…