OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Ulizingua kinoma.Usinikumbushe nilivyokuwa bavaria , nasoma chuo
Nilipata mahali kazi baada ya kutoka chuo nilikuwa naenda kufanya kazi kwa masaa 6 ,nachukua changu
Kuna dada mmoja alinielewa sana akataka nifunge naye ndoa ili nipate uraia wa Germany ..ilikuwa ni shida iasee
Ubaguzi niliokutana nao ...sio wa nchiii ..kila muda kuoekuliwa vibali ,,hasa stetion za treni
Sikupenda kabisa nikaona ni bora nirudi tu nyumbani!! Nije niendelee kubanan na waswahili wenzangu
sent from toyota Allex
Visa ya Canada napata?
Ndio mkuuVisa ya Canada napata?
Binafsi uzi huu nauunga mkono 100% Lakin pamoja na hayo bado kuna changamoto nyingi kufikia hatua ya kuondoka nchini, kuna mambo mengi ambayo niya msingi hasa upande wa Serikali yetu tukufu hasa upande wa Idara ya uhamiaji. Tz yetu mtu kupata the tu cheti cha kuzaliwa ambacho ni haki ya Mzawa mpaka jasho likutoke, na ikiwezekana na rushwa juu utoe. Ukienda Migiration ili kuanza mchakato wa passport utahenya vibaya,
Kupata card ya chanjo ya homa ya manjano mpaka utahenya.
Lakini pia changamoto nyingine ni mtu kupata Nauli kamili ya kukufikisha mahari unako taka kwenda.
Binafsi ninacho elewa wakirahisisha hayo mambo ya juu, naona Tanzania inaweza kubaki na wazee tu,
Sasa nchi gani hii isiyo toa ajira, Mali asili ni nyingi lakini hatujui wala hatuoni uthamani wake, Vyeo vya juu wanapeana wao kwa wao
HAKI YA MUNGU MIMI SIKU NIKIONDOKA NDO BASI TENA. BORA NIKAFIE KWA FARAO KULIKO KANANI AMBAKO SIJAWAHI FIKA.
[/QUOTE umeongea point sana lakini chunga usifie muheza na uku ushaapia tayari..........jokes...........kinacho waferisha wabongo wengi ni kuwa na familia mapema......mambo aya kujilipua yanataka uwe single .......
dogo dogo ndo nini?South Africa ni mahali pa kwenda?? Ukikutwa na dogodogo, au sabb yyte isiyo na mashiko unanyunyizwa petrol na kupigwa kiberiti fasta!!
kumbe kuna nchi ulaya choka mbayaMkuu inategemea unataka kwenda inchi gani kujilipua...zipo inchi zipo ulaya lakini utatamani ubaki Africa..sasa wewe nidokeze unataka uende inchi gani?
Nyingi sana mkuu,,,utatamani ardhi ipasuke,,,uingie utokee africakumbe kuna nchi ulaya choka mbaya
kama nchi gani mzeeNyingi sana mkuu,,,utatamani ardhi ipasuke,,,uingie utokee africa
Romania,,Albania,Greece,Bulgaria,, nk ,,hata hizo France, Italy,Spain kama huna michingo ni kupoteza muda ulaya.kama nchi gani mzee
Romania,,Albania,Greece,Bulgaria,, nk ,,hata hizo France, Italy,Spain kama huna michingo ni kupoteza muda ulaya.
NomaaaPoint ya msingi sana hii, wengi wanafikiri ukishsingia tu ulaya basi ndo mambo yamenyooka
Unamawazo mazuri MUNGU akubarikiLusungo, Ahsante kwa uzi huu na kwa uzalendo huu.
Kwa wale ambao wanauzoefu wa migodi ya Tanzania please msing'ang'anie humo Geita, Kahama, buly... tafuteni kutoka kwenda nje ya mipaka ya Tanzania kama expat tuiletee nchi fedha za kigeni. Watanzania wanaheshima kubwa Congo DR, Zambia, Senegal, Ivory Coast, Mali, Ghana, Ethiopia, .........
Nimezunguka migodi ya nchi hizi nyingi nimekutana na watanzania wengi na wanafanya kazi nzuri na wanalipwa vizuri kwa average ya USD7000 kwa mwezi ambayo ni sawa na 15M ya Tanzania.
Tukiwa na Watanzania 100 wanaliingizia pato Taifa ya USD700,000 kwa mwezi pesa za kigeni
Tukiwa na Watanania 1000 wataingiza USD 7,000,000.
Tukiwa na Watanzania 10,000 wataingiza USD 70M which is possible for now tuache woga
Kuna mtu nilimuita kuna nafasi ya kazi nilipokuwa mgodi mmoja wa Lumwana kule Zambia wakati ule yeye alikuwa anafanya kazi pale TBS akaniambia hawezi kuiacha familia wakati ule dili za mikutano zilikuwa ziko chart mala leo wako movenpick, kesho Kunduchi beach full usanii lakini nilimwambia usitumainie kazi za dili hakunisikia leo hii yuko chali.
Tulenge kufikisha maexpat 100,000 ambao wataletea Taifa fedha za kigeni 700M USD kwa mwezi ambayo ni sawa na 1.5Tillion Tanzanian shs. sidhani kama kuna zao lolote tunao export lenye kuleta hizi pesa kwa mwezi. If we have failed to export products let us export human skills/resources please. mpaka sasa nimeweza kuwaconnect watu 12 kufanya kazi hizi na wengine mpaka sasa wananizidi hata mshahara but I am proud of this, I want Tanzanian to flood Africa as expats in the mining industry, doctors, IT and accounting. Tusibaki kupigana vikumbo Vodacom, TIGO, Airtel, TRA, Bandarini, huko dili hakuna na zilikuwa siyo halali tutachukia watawala bure. Stand up and get out there.
Huku unafanya kazi week 6 site na week 2 uko home unaendeleza miradi yako na ukiwa site hutumii hata shilingi yako vitu vyote unakuwaprovided mshahara unaukuta nyumbani Tanzania kwenye A/C unakusubiri (very clean money, hakuna kutega dili).
Mimi nilipata kazi kwa ku-apply online application kwa mara ya kwanza AngloGold Ashanti na kutokana na uzoefu niliokuwa nimepata hapo TZ wakanikubali and now I am changing from one company to another, country to country within Africa, sitaki kwenda ulaya au America, huko nitakuwa mtumwa. I like my Africa.
Google makampuni then apply na usiamini au usisubiri kutafutiwa apply ukiamini utapata ila ikitokea amejitokeza mdau kukusaidia it is very fine.
Thanks.
Tupe connection mzee wa kazi ya kufika uko kwenye iyo migodi.Lusungo, Ahsante kwa uzi huu na kwa uzalendo huu.

Izzo...ww jamaa upo tofauti kbs na tabia zetu ss waTz,na pia heshima kwako Lusungo na wengineo wanao tupa Madini haya,kwakeli nime kusoma ni mtu flan mwenye moyo mkunjufu sana, sa'bu hiz information km za wa Germany kuhusu mali zao na pia kuhusu Malta ulivyo tiririka sio siri nime kuvulia kifua, Mungu akubari sana 🙏Mkuu ni Watanganyika tu ndio wazito kupeana Blue print ya mafanikio lakini wenzetu wa Kenya au West Africa wanapeana sana maujanja mm nina uzoefu mkubwa sana wa nchi nying na hii ni kutokana na majukumu yangu nilishawai kuongea na wajerumani waliniambia kuwa kama Tanganyika wangekuja kuongea na CC juu ya mali tulizoziacha kuja kuzichukua kwa exchange ya kuwajengea miundombinu yote unayoijua wako tayali lakini sijui kama serikali ya Tanganyika walishawai kuwaza juu ya hili jambo
Lusungo kweli njooni wataalam mu update,pamoja na wakali wako wa viwanjani...watu wasije waka umizwa na kuhusu connection ya Canada naona sasahv ndio habari ya mjini
Group la whasapp tunasaidiana kwa kupeaana habari na taarifa mbalimbali zitakazotusaidia kuweza kufanikiwa kupata na hatimaye kufanya kazi nje ya nchi, tazama pale inavyopendeza kijana anayeishi nje ya nchi miaka na miaka hata kama ni michache ambaye ameshapata exposure ya kutosha akimsaidia kijana aliye nchini anayehitaji kupata exposure hio kuliko kua na akili mgando kwamba maisha ni hapa hapa nchini.
Group la whasapp lipo, karibu Pm kama una mlengo sawa na niliyoandika hapo juu nikupatie. Sababu ya kufanya hivi ni kuzuia watu wasio na maana wanaoingia tu kwa sababu zao zingine, link is supposed to be shared na watu trusted na sio kuweka ovyo kila mtu aingie tu.
Pia nakukaribisha wewe ambaye una exposure ya nje ya nchi au uko nje ya nchi, unaweza kua msaada sana kwa wengine.
Sent using Jamii Forums mobile apMuu uu
N kwel kbis mkuuHello there !!
Pamoja na kwamba moderators wametoa thread ya mwanzoni sababu ya CHUKI Binafsi au baadhi ya watu wenye chuki binafsi wanataka wengine tuendelee kua masikini na kulia shida ila wao waendelee kutesa kwa zamu wameripoti uzi huo ufutwe, nmefungua tena thread hii upya.
Group hilo whasapp tutasaidiana kwa kupeaana habari na taarifa mbalimbali zitakazotusaidia kuweza kufanikiwa kupata na hatimaye kufanya kazi nje ya nchi(OVERSEAS), tazama pale inavyopendeza kijana anayeishi nje ya nchi miaka na miaka hata kama ni michache ambaye ameshapata exposure ya kutosha akimsaidia kijana aliye nchini anayehitaji kupata exposure hio kuliko kua na akili mgando kwamba maisha ni hapa hapa nchini.
Group la whasapp lipo, karibu Pm kama una mlengo sawa na niliyoandika hapo juu nikupatie. Sababu ya kufanya hivi ni kuzuia watu wasio na maana wanaoingia tu kwa sababu zao zingine, link is supposed to be shared na watu trusted na sio kuweka ovyo kila mtu aingie tu.
Pia nakukaribisha wewe ambaye una exposure ya nje ya nchi au uko nje ya nchi, unaweza kua msaada sana kwa wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app