Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

 
careenjibebe ukuje
careenjibebe
 
wakuu tupeane update kwa wale waliofanikiwa kwenda majuu,Mkuje hapa jukwaani mtoe ushuhudaa wajamen
 
Jaman vipi kuhusu china? Kuna jamaa angu mchina alipo kuwa bongo alikomaa Sana twende nae china akasema kuhusu kazi atajua yeye au ntaanza na driving kwa kutumia international licence na KIPINDI anaondoka akaniachia mpaka nauli, akaniambia nikiwa tayar nimwambie kuhusu visa atanitumia invitation letter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…