Mkuu izzo usiniache nje 0625777496.Hv unajua kwa nini kila kiniweka hapa project mpya au chapisho la maana nawatag watu? coz nataka hata wale ambao wameonyesha mwitikio na hizi project wapate update kwa kila kipya tunachoweka hapa na kila mtu kushiriki katika safari hii ya maendeleo si matumaini kwani nataka watu waende kwa kujidai si kujificha unapoona gari la police kwani kama utakuwa unajificha ukiona gari la Police basi utatumia masaa 10 kati ya 12 kujificha tu coz huku gari za Police kupita mitaani ni kama vile unavyoona magari ya mwendo kasi ukiwa kkoo
Siku zte inapendeza na kufurahisha kama project inatoka kwenye makaratasi na kuwa kitu cha kuonekana na kushikika si kupiga story tu mwisho wa siku hakuna chochote cha maana kwani muda ni rasilimali ambayo ukiipoteza huwezi kuipata tena mpaka unakufa so siwezi na sipo tayali kuwa napoteza muda hapa na pia kuhusu wageni kwanza nataka mwezi wa 4 yeyote mwenye kutaka mgeni lazima tutoke kwenye kujificha nyuma ya keybold na keypad mm nitaka namba zenu za simu tu mengine niachieni mm kwani usalama wa wageni ni
First Priority so naitaji kuwajua vizuri host pia yule main host kwani lazima kuwe na main host ambae kazi yake ni kuwasambaza kwa hawa host
tutaanza na wageni 22 kutoka Malta,Canada na USA
Pia wale mabingwa wa kuandika projects kwani si kila mtu anapenda kwenda Ulaya au nje wajiandae lakini lazima taasisi yako au yenu imepata usajiri wa serikali na cheti kipo nitakachofanya ni kukuonganisha na taasisi ya nje bhasi unaendelea mwenyewe no kuwasiliana no PM
STUNTER
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Wakuu katika option hizo 3 mimi nieona hio ya kwenda Malta kuwa volunteer ( kujitolea) then after 1 year nachukua uraia ndo nyepesi kwangu. Sasa naombeni kama kuna mtu ana connection na hao watu aniunganishe. Ntamshukuru sana zaidi ya saana. Nipo Dar. Pasport na nauri ninayo pia kwny lugha niko vizuriHahahahaaahaaa mkuu ww hutaki mchumba bali unataka njia na njia ni kuhost then unatengeneza connection
Kwa nini unadhani nimesema ww uhitaji mchumba ww unataka njia ww nia yako ni kufika Denmark na Sweden so siwezi kukutafutia mtoto wa kimalta akainvest mapenzi na rasilimali zake kwako kumbe ww una akili zako za kwenda kwingine ukaja kuzingua wazungu wana true love si huko mna fake love so unapomfanyia uhuni unamweka ktk wakati mgumu kihisia tena kwa kipindi kirefu
Nimevutiwa na Denmark aise... Nifanyie mpango basi[emoji85]Hahahah unataka uende wapi sasa?
Pamoja kaka, niko jikoni kabisaUsikae mbali na chungu....
Izzo alieleza vizur mwanzoni!!Pitia comment zake!! By the way kwa njia ya kuvolunteer Malta!! Ingia website ya workaway.com then tafuta host wa kupokea volunteer huko MALTA!!kazi kawaida ni few hours( may be 5) per day ila unapata chakula na malazi!!Ol the best road to Malta!! tukutane huko this year....!!!Wakuu katika option hizo 3 mimi nieona hio ya kwenda Malta kuwa volunteer ( kujitolea) then after 1 year nachukua uraia ndo nyepesi kwangu. Sasa naombeni kama kuna mtu ana connection na hao watu aniunganishe. Ntamshukuru sana zaidi ya saana. Nipo Dar. Pasport na nauri ninayo pia kwny lugha niko vizuri
ngoja ngoja yaumiza matumbo hivyo basi zamia tu kwenye meli habari zingine utazijua tu huko (joking)Nimevutiwa na Denmark aise... Nifanyie mpango basi[emoji85]
Mkuu, ulinijumlisha kwenye interested hosts?!Dr. Mwalimu yeyote ni njia mbili ndio zinamfanya ajue kuwa kile anachofundisha kinafanyiwa kazi au kinazingatiwa na wale anaowafundisha
1 Wanaofundishwa huwa wanauliza maswali au kusema pale wanaposhindwa kuomba msaada ili waweze kuendelea mbele
hakuna aliyeuliza swali nikashindwa kumjibu
2 Ni Matokeo ya mitihani au kazi wanazopewa kuhusu kile walichofundishwa
Toka tumeanza na Mission ya kwanza changamoto kubwa ikaonekana Malta hakuna ubalozi Tanganyika nikawaletea njia ya kupata visa hata ukiwa Tanganyika yote ni kutatua tatizo liliojitokeza la ubalozi na visa
mpaka leo hakuna mtu aliyeleta mrejesho kuwa hata alikwenda ubalozi wa Italy kuuliza tu na majibu aliyopewa
Mission ya pili mpaka mwezi wa 6 ndio wageni wanakuja huko na wanaanza 5 wapo waliojitokeza kutaka kuwahost lakini waliojitokeza ni watu ambao wanataka kuwahost lakini waliojitokeza kuhost mmoja mmoja nadhani ni wawili tu ndo wamejitokeza sasa unajiuliza mgeni yeye anatoa fedha dola $100 kila siku sawa na laki mbili na kitu just for food en bed tena analala kwako ww kazi yako ni kumtembeza pale anapotaka tena kwa gharama zake lakini mwitikio ni mdogo ni watu wawili tu ndio wameonesha nia ya kuhost je siku ikitokea wakaja wageni zaid ya 10 host wanapatikana wapi?????
Na hii project nilileta kwenu kwa kuwasaidia nyinyi si kwa ajili ya biashara kama ingekuwa biashara yapo makampuni mengi ya kitalii au watu wanafanya kazi hizo
Hatuwezi kujaza saver hapa kwa maproject yasiyo fanyiwa kazi zaid ya story stroy tu hapa kufanya hvyo ni matumizi mabovu ya akili kitu ambacho sipo tayali kutumia akili yangu vibaya na inakuwa hakuna maana ya kupiga story tu hii ni kazi niliwai kusema kumekuwa na tatizo la kutransform Draft to Reality
Asante mkuuJamani tunaweza pia kuwauliza ubalozi wa Italy- Tanzania kwa kutumia hii mail address
amb.daressalaam@cert.esteri.it
Au
segr.dar@esteri.it
Mimi nimeshawauliza baadhi ya maswali kuhusu nchi ya Malta na Visa Zao
Mkuu nlikua hapo na red cross 2014, naomba nikutembelee aisee [emoji2] [emoji2]sory nilichelewa kukujibu ubuzy mwingi, ndio nipo kasulu tarafani makere jilani kabisa na Nyarugusu refugees Camp inayo host raia wa drc na buja
Safi na hongera mkuu,Wakuu katika option hizo 3 mimi nieona hio ya kwenda Malta kuwa volunteer ( kujitolea) then after 1 year nachukua uraia ndo nyepesi kwangu. Sasa naombeni kama kuna mtu ana connection na hao watu aniunganishe. Ntamshukuru sana zaidi ya saana. Nipo Dar. Pasport na nauri ninayo pia kwny lugha niko vizuri
Chagua njia yangu tujilipue tombLabda nielezee kitu hapa kuhusu Scholarships naona wengi hamna taarifa vizuri(hiki nimekifanya mwenyewe na nimefatilia mimi mwenyewe)
Iko hivi wandugu, ukitaka uombe Scholarships kwanza lazima uwe umepata admission ya chuo husika tena iwe "UNCONDITION ADMISSION"
Uncondition Admission means Uwe umemeet vigezo vyote(hapa wengi huwa navyo) pamoja na kigezo cha Laguange Proficiency ( hapa ndio kikwazo kwa kila mtu) hapa kwa Tanzania wanataka TOEFL/IELTS(score kwa TOEFL 95iBT kwa IELTS ni 6.0/6.5) na GRE(Hapa kwa Engineering). Then utatumia hiyo Admission kuombea Scholarships na pia Scholarships nyingi wanataka at least uwe na experience ya miaka 3 kazini,
Then Barua ya mwajiri (wenye roho za korosho hapa ni kazi), Referees (Academics) hawa sio kazi kuwapata, theni huwa kuna michujo Mingi sana kwenye hizi sholars, nawaambia kitu nilichoexpirience
kuchomoka kwa kutumia hizi scholarships ni kazi sana mpaka uipate na ndio maana mimi niliachana nayo KABISAAA wala SITAKI kuisikia kabisaa.
Mapambano yanaendelea..
Vale unataka kwenda kufanya niiiiNimevutiwa na Denmark aise... Nifanyie mpango basi[emoji85]
Chagua njia yangu tujilipue tomb
Nimekusoma... tuombeaneMkuu tupo pamoja katika hilo,tunajazia jazia tu
poapoa, ukiwa tayari utaniarifu nikupe contactMkuu nlikua hapo na red cross 2014, naomba nikutembelee aisee [emoji2] [emoji2]
baki ww mwenyewe sasa
Makomanda wenzangu wa mitandaoni, hili sio suala na mtu binafsi, vilio vya Afrika tunavisikia kuanzia Sudan ya Kusini, Misri, Angola, Ethiopia, Somalia nk.
Kuna wenye hali mbaya kuliko hapa kwetu Tanzania.
Na sio kama hatujui wala hatujaupitia au kuutumia mfumo huu wa njia za panya za kujikomboa kiuchumi.
Lazima tuwe na mawazo tofauti. Kama Gaza sehemu inayojulikana kama jela iliyokuwa wazi, wananchi wanabaguliwa na wanaishi kama wakimbizi kwenye ardhi yao, na bado vijana wameweza kujikomboa kiuchumi hapo hapo, sembuse Tanzania?
Tanzania tokea tupate Uhuru wetu, hatuna rekodi Taifa letu limejikomboa kwenye Umasikini, mapambano bado yanaendelea.
Awamu ya 5 inafanya zoezi la ku cleaning the virus and rebooting the system. Tuwe wavumilivu.
Wakuu katika option hizo 3 mimi nieona hio ya kwenda Malta kuwa volunteer ( kujitolea) then after 1 year nachukua uraia ndo nyepesi kwangu. Sasa naombeni kama kuna mtu ana connection na hao watu aniunganishe. Ntamshukuru sana zaidi ya saana. Nipo Dar. Pasport na nauri ninayo pia kwny lugha niko vizuri