Mkuu hii uliapply nini???Malta tuna pataman sana, hivyo tuna fanya kila liwezekanalo kufka...
Nina vijana pia naamini wanaweza lifanya hili.... Tuunganishie mkuu....Kama unaweza kuandika kwa kingereza safi note usiige au kucopy idea ya mtu kwenye mtandao kwani kuna program (system) ya kuangalia kama maandiko yako umecopy sehemu au kwenye mtandao
Ukifanikiwa nakuonganisha sehemu unakuwa unapata dola elf 3000 kwa mwaka 1500 kila miezi 6 kwa ajili ya kusoma mpaka utakapo maliza mwisho miaka 5
Kama unaweza kuandika kwa kingereza safi note usiige au kucopy idea ya mtu kwenye mtandao kwani kuna program (system) ya kuangalia kama maandiko yako umecopy sehemu au kwenye mtandao
Ukifanikiwa nakuonganisha sehemu unakuwa unapata dola elf 3000 kwa mwaka 1500 kila miezi 6 kwa ajili ya kusoma mpaka utakapo maliza mwisho miaka 5
Ok andika siku ukimaliza niambie then nitakwambia cha kufanya ila usome mkuu si kula hela ya watu ukifanya hvyo jua next time utakuwa hupati tenaNatanguliza shukrani za dhati mkuu Izzo.
Nitaandika kwa kuzingatia instructions zote husika.
Let me try that chance. It might change my life story!
ubarikiwe ndugu kwa moyo wako wa kusaidia.
-Kaveli-
Aisee mkuu izzo sijui wanajukwaa hili wakupe nini.... Umekua msaada mkubwa sana, Mungu akupe uhai mrefu na amani tele.Ok andika siku ukimaliza niambie then nitakwambia cha kufanya ila usome mkuu si kula hela ya watu ukifanya hvyo jua next time utakuwa hupati tena
Bt inabidi uwe mtoto yatima kwa kipindi hiki wakati unasoma coz hyo ni special kwa watoto yatima tu
Safi sana, vizuri kujaribu mkuu...Izzoooooo!!Izoooooo!!nna some insight hapa kidogo naomba ufafanuzi! Abt volunteer huko Malta
a) ukiwavolunteer unaruhusiwa kufanya part time job out ya ur hours of volunteering if ur host akikuruhusu??
b)after 1 year ya volunteer ni haki yako kupata uraia wa malta(like umekidhi vigezo) au inabidi uombeombe mean unaweza kukubaliwa au kukataliwa??
c)Na kuingia hlo jeshi lao pia kuna possibility ya kukubaliwa direct kujiunga au pia kuna kukataliwa??
d) Kozi ya jeshi ni miaka mingap?then ndo uajiliwe kwa mkataba wa 5years!!
e) mshahara wao jeshin ni reasonable unaweza tuma chembe chembe hme!?for hyo miaka 5
f)kusoma ukiwa jeshini unakubaliwa direct au pia kuna kukataliwa??vigezo ni vip
g) Kusoma utaanza upya au wanaaccept degree zetu huku?
h) ukiacha jeshi after huo mkataba wa 5 years unaruhisiwa kufanya kazi uliyosomea Malta na nchi nyingn za ulaya??
Ni hayo tu sorry kwa kukuchosha na maswali mengi!!!
Maswali mengi nimeshajibu kwenye maelezo yangu kwenye post zilizopita kujibu baadhiIzzoooooo!!Izoooooo!!nna some insight hapa kidogo naomba ufafanuzi! Abt volunteer huko Malta
a) ukiwavolunteer unaruhusiwa kufanya part time job out ya ur hours of volunteering if ur host akikuruhusu??
b)after 1 year ya volunteer ni haki yako kupata uraia wa malta(like umekidhi vigezo) au inabidi uombeombe mean unaweza kukubaliwa au kukataliwa??
c)Na kuingia hlo jeshi lao pia kuna possibility ya kukubaliwa direct kujiunga au pia kuna kukataliwa??
d) Kozi ya jeshi ni miaka mingap?then ndo uajiliwe kwa mkataba wa 5years!!
e) mshahara wao jeshin ni reasonable unaweza tuma chembe chembe hme!?for hyo miaka 5
f)kusoma ukiwa jeshini unakubaliwa direct au pia kuna kukataliwa??vigezo ni vip
g) Kusoma utaanza upya au wanaaccept degree zetu huku?
h) ukiacha jeshi after huo mkataba wa 5 years unaruhisiwa kufanya kazi uliyosomea Malta na nchi nyingn za ulaya??
Ni hayo tu sorry kwa kukuchosha na maswali mengi!!!
Mkuu siwezi kukupa tumaini lolote bt kama itatokea nafasi tena sitosita kukwambia ambayo nina uhakika nayo ni 5 ambazo. tayali nimewapata watu llikuwa imebaki moja tu ndo likawa bahati ya jamaa rabda nifanye fitina si unajua watu weusi kwa mambo ya fitnaAisee mkuu izzo sijui wanajukwaa hili wakupe nini.... Umekua msaada mkubwa sana, Mungu akupe uhai mrefu na amani tele.
Mfano naweza waunganisha hapo watoto yatima wengine? Hata mmoja au wawili mkuu...
Blessed.
Okw asante..!!Maswali mengi nimeshajibu kwenye maelezo yangu kwenye post zilizopita kujibu baadhi
Masaa ya kazi ya kujitolea ni 4-5 kwa siku 5 za wiki masaa mengine utajua ufanye nini
Degree zinakubalika lakini wanaangalia hyo degree ni ya wapi si degree za Zoom college
Mission si kuingia jeshi la Malta soma post moja moja nimeelezea vizuri kuanzia mission number 1 mpaka 2 ila number 3 sito itoa kwa sababu nilizoziona mwenyewe
Ok andika siku ukimaliza niambie then nitakwambia cha kufanya ila usome mkuu si kula hela ya watu ukifanya hvyo jua next time utakuwa hupati tena
Bt inabidi uwe mtoto yatima kwa kipindi hiki wakati unasoma coz hyo ni special kwa watoto yatima tu
Kesho naiandika mkuu. I will revert to you as soonest as possible.
Mkuu, nakuhakikishia nitasoma kwa bidii zangu to the fullest. Maana nataka sana nitoke na GPA nzuri ya Bachelor Degree ili kupunguza competition kwenye kusaka scholarship ya Masters. I therefore guarantee you with maximum efforts in studies... endapo Mungu akajaalia nikaipata hiyo fursa mkuu.
Nasema ahsante ndugu Izzo.
-Kaveli-
Omba Mungu wako atengeneze njiaNasema ahsante ndugu Izzo.
Kuna watu mumezaliwa na bahati sijawahi ona mkuu kama utani vile dola 1000 unazibeba kutoka jf halafu kuna watu wanakaa kujadili kuifunga jf.Kesho naiandika mkuu. I will revert to you as soonest as possible.
Mkuu, nakuhakikishia nitasoma kwa bidii zangu to the fullest. Maana nataka sana nitoke na GPA nzuri ya Bachelor Degree ili kupunguza competition kwenye kusaka scholarship ya Masters. I therefore guarantee you with maximum efforts in studies... endapo Mungu akajaalia nikaipata hiyo fursa mkuu.
Nasema ahsante ndugu Izzo.
-Kaveli-
Omba Mungu wako atengeneze njia
Mambo ya kuingia chumbani (PM) huwa siyapendi kabisaa we andika then ukimaliza niambie then from there nitakwambia cha kufanyaAmeen. I am in hope-mode.
Kuna some concerns kama mbili hivi ambazo ni too personal. For privacy, naomba nije PM tutete kidogo mkuu.
-Kaveli-
Kuna watu mumezaliwa na bahati sijawahi ona mkuu kama utani vile dola 1000 unazibeba kutoka jf halafu kuna watu wanakaa kujadili kuifunga jf.
Mkuu izzo mungu akubariki sana kiufupi nimefurahi sana najiona kama nafasi hii nimepewa mimi kwa maana kufanikiwa kwa mwenzetu ndio kufanikiwa kwetu sote.
Ama kweli mkuu upo serious kutusaidia watanzania wenzako mungu aendelee kukusimamia vyema huko uliko.
I Salute, I Salute you!
Mambo ya kuingia chumbani (PM) huwa siyapendi kabisaa we andika then ukimaliza niambie then from there nitakwambia cha kufanya