Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Ebu usiwe kama shuzi lililo pata mjambaji...[emoji53] [emoji53]Huna jipya mkuu mimi na wew hatuchekani wote tumeishia memkwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu usiwe kama shuzi lililo pata mjambaji...[emoji53] [emoji53]Huna jipya mkuu mimi na wew hatuchekani wote tumeishia memkwa
Ikiwa hata kiswahili fasaha kinakushinda kuandika.... trust me, hauwezi ukapata mwanamke smart mwenye atafanana na tambo zako...
Pole chief
Mkuu hao wa kwenda disco ndo wanawake wa kuoa, maana wanakuwa wameshafanya vurugu zote, akiingia kwenye ndoa anatulia hasa. Ila hawa wengine akiingia kwenye ndoa ndo anaanzahuwa natamani sana maisha falani ya kuishi na familia lakini sijapata mwanamke alietuli na anaejua samani ya mwanaume kila ninaempata huwa hajatulia kutwa humufumania na wanaume hunitoloka kwenda disco ndani ya nyumba maelewano hakuna wezangu wanatumia njia gani ya kupata mwanamke alietulia na anaejua maisha naumia sana sijui nisihangaike na wanawake nitulie tuu
Wewe ndo unatafuta mwanamke kwa pupa ukiwa ujatulia, tulia utapata mwanamke aliye tulia piahuwa natamani sana maisha falani ya kuishi na familia lakini sijapata mwanamke alietuli na anaejua samani ya mwanaume kila ninaempata huwa hajatulia kutwa humufumania na wanaume hunitoloka kwenda disco ndani ya nyumba maelewano hakuna wezangu wanatumia njia gani ya kupata mwanamke alietulia na anaejua maisha naumia sana sijui nisihangaike na wanawake nitulie tuu
Kama bado anaruka kwenda disco kwa muda aliokutana naye jua muda wa kutulia bado, Ila pia suala la disco haimaanishi sio mke, disco ni starehe km zilivyo starehe zingine km kwenda beach, sjui kunywa pombe,Mkuu hao wa kwenda disco ndo wanawake wa kuoa, maana wanakuwa wameshafanya vurugu zote, akiingia kwenye ndoa anatulia hasa. Ila hawa wengine akiingia kwenye ndoa ndo anaanza