Ushauri mapenzi yananitesa

Umeandika kwa hisia sana mkuu hadi huruma mimi nakushauri mshirikishe MUNGU kwanza.
 
Sometimes penda kuangalia Theme (message) ya MTU Na kpa ushauri au upite kimya.
Ikiwa hata kiswahili fasaha kinakushinda kuandika.... trust me, hauwezi ukapata mwanamke smart mwenye atafanana na tambo zako...
Pole chief
 
Mkuu..
IF YOU WANT TO LOOSE A GIRL BE KIND, HONEST OR BE GOOD.


ILA UKIWA KINYUME NA HAPO KAMWE HAWAWEZI KUKUSUMBUA
 
Mkuu hao wa kwenda disco ndo wanawake wa kuoa, maana wanakuwa wameshafanya vurugu zote, akiingia kwenye ndoa anatulia hasa. Ila hawa wengine akiingia kwenye ndoa ndo anaanza
 
Wewe ndo unatafuta mwanamke kwa pupa ukiwa ujatulia, tulia utapata mwanamke aliye tulia pia
 
Mkuu hao wa kwenda disco ndo wanawake wa kuoa, maana wanakuwa wameshafanya vurugu zote, akiingia kwenye ndoa anatulia hasa. Ila hawa wengine akiingia kwenye ndoa ndo anaanza
Kama bado anaruka kwenda disco kwa muda aliokutana naye jua muda wa kutulia bado, Ila pia suala la disco haimaanishi sio mke, disco ni starehe km zilivyo starehe zingine km kwenda beach, sjui kunywa pombe,
 
Hata wa Njombe nao wapo ivo? Tafuta na wa huko kwenu utapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…