Ushauri: Matumizi ya muscle booster suppliments

simon baker

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
522
Reaction score
698
Habari wadau,

Natumai wazima wa afya...
Binafsi nime develop a hobby ya mazoezi...ila appetite yangu ni ya kawaida mno plus natamani ku gain weight wastani...
Sasa kwenye pita pita nimekutana na hizi formula za muscle booster suppliments ambazo kama powder kwenye makopo
Wanasema unatumia kwa kuchanganya (eg glass ya maziwa,ndizi mbivu mbili na vijiko vya such formula daily) huku napiga tizi na mabadiliko ni mwezi tu lazma ni gain weight...

Sasa nimekuja hapa kuomba ushaur kwa ujuzi wenu juu ya athari za hizi mambo mana nimepata positive tu za hiz vitu

Nb :nilisikia zinafanya uwe kibamia pia ...
 
Na machoko wengi ni ma body builder chunguza utakuja na jibu.
 
Mkuu, dhumuni hasa la kuongeza fake muscles ni nini? Hizo booster ni proteins mzee ila tu side effect yake mojawapo ni issue za libido. Hutodinda and kama unataka hivyo kale tu yale mapoda mashine iende alijojo.

Kingine, itafikia muda hutoona muscle inakua so utaongeza kipimo then addiction. Kila la heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…