Wana jamvi msaada.Napata maumivu makali sana baada ya haja kubwa na huendelea hata baada ya haja. Na huwa choo kinakuwa kigumu sema sio sana ila maumvu yanazdi hadi napata shda kukaa.
Wana jamvi msaada.Napata maumivu makali sana baada ya haja kubwa na huendelea hata baada ya haja.Na huwa choo kinakuwa kigumu sema sio sana ila maumvu yanazdi hadi napata shda kukaa.Sijui tatzo ni nn.
Usiwe unajilazimisha kunya mkuu.kula matunda nusa saa baada ya kula na kunywa maji nusu saa baada ya matunda, hakikisha unapoenda uwe umebanwa haswa na si kujilazimisha,unajikamua sana na chanzo cha tatizo.