Sana hafu pia ni stress free biznes kwa mtaji huo wa 2 mil hukosi atleast laki 4-5 per month na ukipata sehemu yenye mzunguko mkubwa wa watu inazidi hiyo hela.
Kijana,
Ninazungumza haya from experience ya miaka 5 sasa katka mazingira tofaut tofaut
Uwakala hakikisha unategeshea location vinginevyo ni biashara kichaa kuwahi kuwapo duniani, kamisheni zake ni 36,50,100,120,240,320,480,720,625,1200 kubwa zaid n 2500 hapo mtu katoa 1M+ hivyo utahitajika kufanya miamala mingi.
Wakati flan kwa hiyo 2M nimewahi kupata kamishen zaid ya 800/900 monthly.
Hivyo capital itafata zingatia location
Napo kimsingi biashara yeyote ni location tu, itakuwa polepole
Ukikosea location utajikuta unaambulia laki au laki na nusu mwezi mzima pengine hata isifike.
Anza na lain zote 4 tigopesa halopesa mpesa airtelmoney.