flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,390
Location unayo??Naposema Stress free namanisha kwamba fedha yako kwa asilimia kubwa haina risk ya kupotea compared to other biznes ambao unaweza kununua product ukakuta price ime depreciate ukala loss ama kufilisi mtaji wote kabisa.
Kwa case ya Uwakala ni kiasi tu cha wewe kuwa makini na miamala usije pigwa kwa miamala hewa basi. Mleta mada ukiwa tayari nipo tayari uniajiri kwa malipo ya 300k tu per month nikufanyie kazi yako kwa uhakika zaidi.