Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka akifika tu nimzimie simu ili alale kwenye maboksiUnataka kumpokea[emoji1787][emoji1787]
Hiyo CoAF imeanzishwa lini? Sikuwahi kuisikiaNdio nimemaliza mwaka uhu nimesema college moja pale unaitwa coaf
Mwaka UHU utatoboa kwenye biashara ya electronics mkuu mwaka UHU.Bee keeping and Technology
Mbona ina muda mrefu kidogo mkuu. Nmeenda pale 2017 niliikutaHiyo CoAF imeanzishwa lini? Sikuwahi kuisikia
Kumbe ni mpya ndio maana nikiwa hapo sikuwahi kuisikiaMiaka kama sita au saba saiz
Sawa nilipomaliza haikuwepoMbona ina muda mrefu kidogo mkuu. Nmeenda pale 2017 niliikuta
Mkuu hiyo M2 itafutie odds 2 halafu njoo nikushauriUmetisha mkuu
Naposema Stress free namanisha kwamba fedha yako kwa asilimia kubwa haina risk ya kupotea compared to other biznes ambao unaweza kununua product ukakuta price ime depreciate ukala loss ama kufilisi mtaji wote kabisa.
Kwa case ya Uwakala ni kiasi tu cha wewe kuwa makini na miamala usije pigwa kwa miamala hewa basi. Mleta mada ukiwa tayari nipo tayari uniajiri kwa malipo ya 300k tu per month nikufanyie kazi yako kwa uhakika zaidi.
Sawa kuna kilimo na biashara ya mazao uwe mtu wa katiKilimo akitabiliki sikuiz mkuu
Vip kuhusu Lipa namba nayo
Kwel we ni gwijiLipa ilkua ina pesa zaman ikiwa ndio inatoka,sasahv haina maslah sababu makato yanakarbiana na kutoa kawaida
Mfano zaman ilkua kutoa kwa lipa 50000 ada ilkua 600 sasahv n 1700 inakuwa ngumu kugawana na mteja
Wamepandsha fee kuwabana mawakala baada ya kujua kuna mawakala wasio waaminifu kama mm wanafanya udanganyifu huu
Kifupi imekua na vikwazo vingi sana hasa tigo ambapo max kutoa kwa siku n 500,000
Lipa imepoteza mvuto
Zaman kabla mambo hayajachanganyana ilkua kukunja 20,30,50 kwa siku n kawaida tu
Sina hakika kama ile neema inaweza kurud tena [emoji28]
Wateja wa laki nilkua nawalamba 2500 had 3000
Inatakiwa kuwa na Kaz Inayoweza kuzalisha Pesa ya kujikim maana nkisema nianze saiz ad kuanza kupata maazao yake ni kuanzia miez minne na kukaaa nyumban kusibil miez minne ntakukuta nikiangukia mule mule kuwa tegemez mpango wa Maswala ya nyuki nnao ila natafta kitu cha kuniwezesha kujikimMjuzi wa kilimo cha nyuki, kwanini usifanye kilimo hiko?
Mtu wa kati kwenye kilimo niliiwaza pia ila kwa Sasa nmechelewa labda msimu ujao mazao yamepanda na unajua naweza kununua sahizi kufika sokoni unakuta yameshuka bei tenaSawa kuna kilimo na biashara ya mazao uwe mtu wa kati
Angalia biashara ambayo itakuza mtaji haraka na utoboe kimaisha