Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

Anzisha mradi simple wa supu ya kuku kienyeji na mbuzi hiyo unapiga usubuhi na jion,,, hrf mchana unapiga ugari pande nyama choma vzr miksa mbwembwe zote vionjo! Mzeee ? Ukifanikiwa Hilo utakimbia pesa mwenyewe,, Kila siku watu wanakula ,,boresha biashara Kwa ubunifu wa Hali ya juu! Ishu ya pili ukipata eneo ambalo ni kitaa kilichochangamka anzisha jiko zuri Kwa usafi wa Hali ya juu hapo unapika mboga mboga aina tofaut kwa mitindo tofaut au Kwa oda ya mteja,,, wamama wengi sas hiv wavivu vijana kibao utapiga pesa! Idea nyingi tunakosa mitaji na sapot

Noma
 
Usijiroge kuondoka Dar labda kama unataka kulima,asikudsnganye mtu ,dar ndio mwanzo wa mrija mkuu wa fedha na ndio mjini kwingine kote vijijini.
Hata wabunge wa Nkasi wanaishi na kfanya shughuli zao Dar. Nkasi wanaenda kuomba kura tu.
 
Kijana,

ninazungumza haya from experience ya miaka 5 sasa katka mazngra tofaut tofaut

Uwakala hakikisha unategeshea location vingnevyo n biashara kichaa kuwah kuwapo dunian kamishen zake n 36,50,100,120,240,320,480,720,625,1200 kubwa zaid n 2500 hapo mtu katoa 1M+ hvyo utahtajika kufanya miamala mingi

Wakat flan kwa hyo 2M nmewah kupata kamishen zaid ya 800/900 monthly.

Hvyo capital itafata zingatia location

Napo kimsing biashara yeyote n location tu,itakua polepole

Ukikosea location utajkuta unaambilia laki au laki na nusu mwez mzima pengne hata isfke.

Anza na lain zote 4 tigopesa halopesa mpesa airtelmoney.
Biashara za watu wavivu ma wanaotakatisha pesa ila sio ya kumtoa mtu kimaisha.
 
Kwa mtaji huo 2M iwe nje ya kodi ya frem/kibanda na lain na makorokoro mengne tosha sana kuanzia kikubwa location tu iwe imechangamgamka

Vingnevyo kwa biashara ya uwakala hyo capital ya 2M si ajabu akapata kamishen ya chin ya laki 2 kwa lain zote location ikiwa mbovu.niaminin mm!

Lkn kwa upande mwnigne naweza nisztaje ila kuna biashara nying ndgo ndgo za mtaji wa chin ya 500,0000 na ukapata .zaid ya 20k kwa siku…

tatizo vijana ikiwemo mm tunapenda biashara smart,za hadhi/elimu zetu,zisizo cha kuchafuka,biashara ya kusifiwa n kaz nzur ila ukwel n kuwa wapo wauza matunda njian,wachoma mishkaki,wachoma maind wanakunja zaid ya 20k dairly ilihali tulio kwenye frem tunastruggle kizchiz

Hizi biashara za kwnye mafrem tunajitahd tu lkn running cost n nying na bado TRA na municpal hawajapta kukagua leseni
Kweli
 
Biashara za kitoto hizi kibanda umiza na PS

Pamoja na wale wauza movies

Biashara ya ps unayoiita ya kitoto inaniingizia almost 500k per month kwa mtaji wa 1.7M tu[emoji23]..akili ku mkichwa nyie endeleeni kukariri na visalary uchwara vya laki 5 utumishi[emoji23][emoji23][emoji23].
 
IMG_7611.png
kila wiki ukiwa na uhakika wa kukunja hiyo amount una shida gani..pata picha una ofisi mbili au tatu.
 
Naombeni ushauri Wakuu nina mtaji wa milioni 2 nahitaji kufanya biashara Dar es Salaam, ni biashara gani itayonifanya niweze kupata faida.
Fungua duka la mahitaji ya nyumbani wengine wanaita duka la mangi.

Weka na gesi kwa nje.
 
Kibanda umiza Kama anasehemu kabisa sawa lakini Kama ndio ajenge kwa makuti standard haitoshi

Mimi Kuna jamaa huku amejenga Banda la makuti of standard kabisa na tv tatu za nchi 55, imemlia 7m

Sema siku hakuna Mechi ni mwendo wa ps tu yaani itamlipa tu
Sasa hapo kilichomlia hela ni hizo TV 3
 
Back
Top Bottom