Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Biashara ya mazao imekaaje hii mkuuKakuze mtaji shambani au biashara ya mazao mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara ya mazao imekaaje hii mkuuKakuze mtaji shambani au biashara ya mazao mkuu
Chief mbn miez minne ni muda mchacheInatakiwa kuwa na Kaz Inayoweza kuzalisha Pesa ya kujikim maana nkisema nianze saiz ad kuanza kupata maazao yake ni kuanzia miez minne na kukaaa nyumban kusibil miez minne ntakukuta nikiangukia mule mule kuwa tegemez mpango wa Maswala ya nyuki nnao ila natafta kitu cha kuniwezesha kujikim
je kwa huo mtaji wake itatosha kweliKijana,
ninazungumza haya from experience ya miaka 5 sasa katka mazngra tofaut tofaut
Uwakala hakikisha unategeshea location vingnevyo n biashara kichaa kuwah kuwapo dunian kamishen zake n 36,50,100,120,240,320,480,720,625,1200 kubwa zaid n 2500 hapo mtu katoa 1M+ hvyo utahtajika kufanya miamala mingi
Wakat flan kwa hyo 2M nmewah kupata kamishen zaid ya 800/900 monthly.
Hvyo capital itafata zingatia location
Napo kimsing biashara yeyote n location tu,itakua polepole
Ukikosea location utajkuta unaambilia laki au laki na nusu mwez mzima pengne hata isfke.
Anza na lain zote 4 tigopesa halopesa mpesa airtelmoney.
je kwa huo mtaji wake itatosha kweli
Mkuu sijasema nachagua Kaz ila nilikuja kupata mawazo kwa wazoefu nipe mawazo mkuuKwa mtaji huo 2M iwe nje ya kodi ya frem/kibanda na lain na makorokoro mengne tosha sana kuanzia kikubwa location tu iwe imechangamgamka
Vingnevyo kwa biashara ya uwakala hyo capital ya 2M si ajabu akapata kamishen ya chin ya laki 2 kwa lain zote location ikiwa mbovu.niaminin mm!
Lkn kwa upande mwnigne naweza nisztaje ila kuna biashara nying ndgo ndgo za mtaji wa chin ya 500,0000 na ukapata .zaid ya 20k kwa siku…
tatizo vijana ikiwemo mm tunapenda biashara smart,za hadhi/elimu zetu,zisizo cha kuchafuka,biashara ya kusifiwa n kaz nzur ila ukwel n kuwa wapo wauza matunda njian,wachoma mishkaki,wachoma maind wanakunja zaid ya 20k dairly ilihali tulio kwenye frem tunastruggle kizchiz
Hizi biashara za kwnye mafrem tunajitahd tu lkn running cost n nying na bado TRA na municpal hawajapta kukagua leseni
Ndiyo mzunguko ulipoUza nguo. Ila kwanini usihame mkoa. Why everybody talks about Dar
Mkuu assume awe anapata kamishen 800k akisema alipe mfanyakazi 300k ubaya uko wapi?Kwa mtaji huo, akulipe laki tatu?
Umenifanya nitilie shaka hata mchango wako kwenye mada hii [emoji3]
Uko pnde zipi ww kiongoziUna location ya uhakika, kwamba Kamisheni ya 800k mpaka 1 milioni ni kawaida tu? Ni cheki pm kama ipo
Mtu wa katiBiashara ya mazao imekaaje hii mkuu
Mtaji kiasi gani utafaa ili wewe ujilipe 300k na tulipe kodi ya pango na mimi mwenye mtaji nipate faida isiyopungua 300kIpo mkuu
[emoji23][emoji23]Zaidi ya 100billion ipo kwenye mzunguko kila siku ndani ya huo mkoa.
Nashauri kila mtu aende Dar,hata mimi nipo njiani
Yani biashara ya uwakala kwa mtaji wa 2M kisha kwa kuanza tu aanze na mtu anaelipwa mshahara 300k, kwa revenue gani? Labda kama wewe ndio uwe mnufaika wa hiyo biashara, sio yeye.Naposema Stress free namanisha kwamba fedha yako kwa asilimia kubwa haina risk ya kupotea compared to other biznes ambao unaweza kununua product ukakuta price ime depreciate ukala loss ama kufilisi mtaji wote kabisa.
Kwa case ya Uwakala ni kiasi tu cha wewe kuwa makini na miamala usije pigwa kwa miamala hewa basi. Mleta mada ukiwa tayari nipo tayari uniajiri kwa malipo ya 300k tu per month nikufanyie kazi yako kwa uhakika zaidi.
[emoji23]Wapi huko wanauza kitoto cha nguruwe elf 30?
Nileteeni vya 3m viwe mia
Ukiingia kwenye biashara kwa kutanguliza neno "assume", ni swala la muda tu kabla haujatoa milio ya kila namna.Mkuu assume awe anapata kamishen 800k akisema alipe mfanyakazi 300k ubaya uko wapi?
Kaka Ukitaka uhakika kabisa we Weka M3 kama ipo hiyo Pesa Unaipata Niamini mimi. Na hapo inakuwa bado haijachanganya bro, ikichanganya utapata hela nzuri sanaMtaji kiasi gani utafaa ili wewe ujilipe 300k na tulipe kodi ya pango na mimi mwenye mtaji nipate faida isiyopungua 300k
Miamala hewa inakuwaje mkuu?Naposema Stress free namanisha kwamba fedha yako kwa asilimia kubwa haina risk ya kupotea compared to other biznes ambao unaweza kununua product ukakuta price ime depreciate ukala loss ama kufilisi mtaji wote kabisa.
Kwa case ya Uwakala ni kiasi tu cha wewe kuwa makini na miamala usije pigwa kwa miamala hewa basi. Mleta mada ukiwa tayari nipo tayari uniajiri kwa malipo ya 300k tu per month nikufanyie kazi yako kwa uhakika zaidi.
Unamaanisha nini mkuu kuhusu utapeli?TujuzeAnza na voda, tigo na airtel japo tigo wamesitisha kutoa laini uwe makini kama utapata mtu wa kukuuzia matapeli ni wengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona umemfuatilia weeee[emoji23][emoji23]Mwaka UHU utatoboa kwenye biashara ya electronics mkuu mwaka UHU.