Ushauri,mawazo ya biashara kwa Mwanafunzi wa chuo

azwelle

Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
48
Reaction score
13
Habari zenu wana JF.mimi ni Mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Tanzania na nina mtaji wangu wa mil 3.naombeni mawazo yenu.biashara gani naweza fanya kwa mtaji huu nikiwa chuo?
 
habari zenu wanajf.mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz na nina mtaji wangu wa mil 3.naombeni mawazo yenu.biashara gani naweza fanya kwa mtaji huu nikiwa chuo?
mkuu jaribu kutoa statement kamili, uko chuo gani ili wakuu waweze kukushauri kulingana na mazingira uliyopo..

Ila kama hilo halijalishi na una uwezo wa kufanya biashara ambayo iko mbali na mahali ulipo, hiyo haina shida, subiri waje!
 
nmekuelewa vyema ila chuo haijalishi.nahitaji mawazo ya ujumla ili wanachuo wote waweze kugain
 
Kwa chuo vitu vya electronics kama laptops,simu,flash na vitu kama hivyo nafikiri inaweza kuwa nzuri

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…