Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu jaribu kutoa statement kamili, uko chuo gani ili wakuu waweze kukushauri kulingana na mazingira uliyopo..habari zenu wanajf.mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz na nina mtaji wangu wa mil 3.naombeni mawazo yenu.biashara gani naweza fanya kwa mtaji huu nikiwa chuo?
mkuu jaribu kutoa statement kamili, uko chuo gani ili wakuu waweze kukushauri kulingana na mazingira uliyopo..
Ila kama hilo halijalishi na una uwezo wa kufanya biashara ambayo iko mbali na mahali ulipo, hiyo haina shida, subiri waje!