Ushauri Mdogo wangu Amepata Disco chuo mwaka huu namsaidiaje?

Ushauri Mdogo wangu Amepata Disco chuo mwaka huu namsaidiaje?

Kama picha inavyojieleza nipo katika mtanziko mkubwa baada ya huyu Mdogo angu Kupata Disco mwaka huu je namsaidiaje wakuu ?!! Je utaratibu wa kufata baada ya hii Disco!? Ni upi?
View attachment 2380674
ishu hapo ni yeye hapo anataka kufanya nn, kama yupo tayari kusoma tena, au kufanya ishu nyingine,,,jaribu kuongea naye, maana atakachokiamua yeye atakuw tayari kuwajibika nacho.
 
Ila kudisco chuo ni uzembe wa hali ya juu sana, kuna marks za bure bure kwenye assignment, quizzes sijui test ndo uje ufanye final, alaf bado mtu anadisco....supp sawa ila kudisco hapana, huyo atafute shughuli nyingine ya kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Owaishe mfanye arudie upya ila ada mtamlipia. Ungesema yuko chuo gani, kuna vyuo ukidisco unafanyiwa mpango wa kuendelea na HESLB mpaka mkataba wako nao unaisha. Kama programu ni ya miaka mitatu na kadisco yuko wa kwanza, anawadai miaka miwili HESLB na anaanza kozi nyingine inayoendana na hiyo ila analipiwa mkopo miaka miwili iliyobaki na HESLB hawajui kama alidisco. Huo mmoja mnapambana.

Kama alikuwa second year na akapata GPA ya kuuzia nyanya hivyo bora aache chuo. First year kunakuwa na mzaha ila second year anajua uhalisia
Chuo ganii mtu aki disco anaendelea na masomo??? Inavyofahamika mkopo ni kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo tu, Ukidisco inamaana kwenye Data base za chuo unapotea, hivyo hivyo kwenye database za TCU pia, kila mwaka loan board hupewa muendelezo na TCU, Au ipoje mkuu
 
Sitakitaja chuo, ili HESLB wakufute kwenye database inabidi wapokee taaarifa kutoka chuo. Sasa chuo kwa kutumia uungwana wanaongea na wewe wala sio unalipishwa au kitu gani. Unaambiwa jinsi ulivyofeli kwa uzembe wako, unaelezwa jinsi ambavyo huwezi pata mkopo matokeo yako yakienda vile ila ikilia na kutia huruma kwamba nyumbani hamna uwezo unaelezwa unavyoweza kubadili kozi hapohapo ila uanze mwaka unaofuata. Hiyo utafanyiwa ukidisco mwaka wa kwanza tu na unachagua kozi ambayo ada yake ni ileile ya uliyofeli. Wanajua unasoma miaka mitatu au minne ila hawajui umebadiri kozi. Kama unajua ni rahisi kubadili kozi pale unaanza first year kama zina ada sawa, that means hawajali sana kozi ni ipi. Sasa sijui utaratibu gani wanafanya uko
 
Kipimdi niko chuo kuna ticha alikua na tabia ya kushika watu hovyo.
Kuna jamaa alishikwa like 2 yrs mfululizo due to kimavi tu kati yake na huyo lecturer. Jamaa akabeba mabegi akaenda kwao, akampiga kipapai lecturer. Jamaa aliugua kama mwaka mzima haelewekieleweki. Mwisho wa siku ikabd amuite jamaa wayamalize kiungwana.
Tangu hapo mtihan wake ukawa kama wa primary. Mteremko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makin sanaa
 
Back
Top Bottom