Ushauri: Mdogo wangu kampa mdada mimba

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Posts
1,251
Reaction score
709
Habari za leo,

Nilikuwa nataka kujuwa hivi ni kweli mtu wa miaka kumi na 15 anaweza kumpa mdada mimba wa miaka 27?

Ni mdogo wangu wa mwisho anamiaka kumi na tano saiz leo asubuhi kuna mdada amekuja home na wamama wakidai kapewa mimba na dogo ila mdogo wangu alikataa kuwa hajampa huyo mdada ambaye alisema ana miaka 27, ila saizi nimeongea na mdogo wangu kwa kumpeleleza sana akasema ni kweli alikuwa anasex naye.

Ila mimi nilitaka kujuwa kuwa nikweli kuna uwezekano wa kijana wa miaka 15 kumpa mdada wa miaka 27 mimba?

Na mimba inamiezi minne mpaka sasa, wasiwasi wangu asije akawa amesakiziwa maana wadada wa siku hizi ni hatari.
 
Ni sawa tu anauwezo wa kumpa mimba coz miaka 15 ni mkubwa sana
 
hiyo mimba dogo alikua anaificha wapi?
kwa nini kaamua kumpa huyo dada?
mwambieni mdada anrudishie dogo mimba yake kisha dogo amkabidhi mdada mbele yenu mpate ushahidi kamili.
 
hiyo mimba dogo alikua anaificha wapi?
kwa nini kaamua kumpa huyo dada?
mwambieni mdada anrudishie dogo mimba yake kisha dogo amkabidhi mdada mbele yenu mpate ushahidi kamili.

duh labda kwenye suruali yake
 
Huyo dada ni mbakaji wa kike ...inapaswa apelekwe mbel ya mamlaka husika
za dola ili avune anacho stahili.
 
huo ni ubakaji,na kama ni kweli mda wote alikuwa wapi,na pia umri wa miaka 15 siyo mkubwa kivile kiasi cha kumpa huyo mbakaji mimba.cha msingi pelekeni hiyo kesi ya ubakaji mahakamani kisha mengine yatafuata.na kama akizalia jela basi huyo mtoto aitwe 2PAC
 
kama kaweza kuchovya,ajue na kukamua na kanika,,,kama dogo anasoma dada ashtakiwe,,kama dereva boda boda kasingiziwa,,,kama hom boy ya kwake huyo ,,,Mpe hongera kapata mtoto mapema ndo kauli yangu mbiyo,, mkali wa kutoa mapacha hapa @
 
Sheria tz haitambui kama mwanamke anaweza kubaka. Naona kosa hapo ni udhalilishaji na sio kubaka
 
Kama familia yenu ina uwezo angalia mara mbili huenda mdada ana lake hapo,sio rahisi miaka 27 kufanya hayo kichwa kichwa. Mjini hapa..
 
Mpelekeni huyo Dada Polisi, amembaka huyo dogo. Anakosaje aibu mpaka anakuja kushitaki huo upuuzi? Mpelekeni Polisi.
 
Duh 15 years, sipati picha hata kidushe Chake kinalinganaje.... I guess ni size ya sigara
 
Uwezo anao sana Kama ameshabarehe, hiyo dada anawexa hykumiwa kwa Kosa la sexual exploitation. Tena mwambie asisubutu kuleta shida..maana mkienda polisi kuna dawati la jinsia ndio linahusika, hatoki hapo!
 
duh miaka 27 unaenda kumvulia nguo mtoto wa miaka 15??? Hii hatar halikuona hata aibu kumpanulia mtoto mdogo kabisa huyo?
 
Nilikuwa najiuliza kwa nini bro kaoa nesi na hajaoa mwanasheria au mwasibu nikagundua manesi wanaumuhimu sana ndani hasa kwenye vitu kama ivi. Ungekuwa nesi ungeleta Uzi mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…