Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 709
Habari za leo,
Nilikuwa nataka kujuwa hivi ni kweli mtu wa miaka kumi na 15 anaweza kumpa mdada mimba wa miaka 27?
Ni mdogo wangu wa mwisho anamiaka kumi na tano saiz leo asubuhi kuna mdada amekuja home na wamama wakidai kapewa mimba na dogo ila mdogo wangu alikataa kuwa hajampa huyo mdada ambaye alisema ana miaka 27, ila saizi nimeongea na mdogo wangu kwa kumpeleleza sana akasema ni kweli alikuwa anasex naye.
Ila mimi nilitaka kujuwa kuwa nikweli kuna uwezekano wa kijana wa miaka 15 kumpa mdada wa miaka 27 mimba?
Na mimba inamiezi minne mpaka sasa, wasiwasi wangu asije akawa amesakiziwa maana wadada wa siku hizi ni hatari.