Ushauri: Mgombea wa CCM aongezewe ulinzi!

Ulinzi ni kila eneo sio gari pekee. Yote kwa yote anayelinda ni Mungu!
 
Mungu asipoilinda nyumba yako wailindao wafanya kazi bure
 
Walinzi anao wakutosha,niwataje wachache.
1.YAMOTO BAND
2.KULWA a.k.a DUDE
3.JB
4.DIAMOND
5.RICH RICHI
na wooooote nasubiri ubunge wa kuteulia,mbona mama samia yupo chini ya ulinzi imara wa Wema?
 
CCM imejaa unafiki wa hali ya juu.Wananchi wanapata shida nyiingi lakini utendaji ni sifuri.Ahadi milioni utendaji hakuna!!Haki ya MUNGU naipiga chini CCM.There is no way!!
 
mkuu ccm ilishaondoka na nyerere.kingunge amefunga mlango rasmi leo...
 
Pia,sina,muda wa kusoma insha yako kujua umeandika nn. Lowassa lowassa lowassa. Mengine badae utaongea akishaenda ikulu
 
Ukiangalia ulicholeta kama mada halafu mtu akiangalia avatar yako wala hatashangaa.
 

Asante mkuu nafikiri wamesahau kuwa yoyote atakaenyanyua kinywa kunena mabaya juu ya mpakwa mafuta na Mungu hana budi kufikwa na mabaya
 
Mabadiliko sio kwa lowassa, bora angekuwa Dr Slaa. Na kwa sasa afadhali ya Dr Magufuli kidogoooo anafa, kuliko mtu wa kutuletea mvua ya kutengeneza, kumbe ilikuwa dili hili avute mkwanja, tutakufa haki ya Mungu.
 
Yaani siku ya kupiga kura nitafika kituoni saa 10 usiku. Naenda na mke wangu na vitegemezi vyangu vyote! Na bahati nzuri wote ni team ukawa. Lazima CCM waondoke. Hamna namna
 
Yaani siku ya kupiga kura nitafika kituoni saa 10 usiku. Naenda na mke wangu na vitegemezi vyangu vyote! Na bahati nzuri wote ni team ukawa. Lazima CCM waondoke. Hamna namna

Usisahau kunywa juisi ya malimao/ukwaju/ Au mbilimbi ili upate hasira. Pia beba kalamu NNE ili moja ikigoma zingine zi back up. Usisahu kuchaji simu zako zote usiku wa tarehe 24. Kila la heri
 

Ni kweli uko sahihi. coz ukawa walichukia sana alivopitishwa kuwa mgombea urais. now wana tetemeka coz mziki wake ni hatariiii....But tumuombee mungu atakuwa pamoja nae ili awe rais atutumikie wa Tz
 
Pia,sina,muda wa kusoma insha yako kujua umeandika nn. Lowassa lowassa lowassa. Mengine badae utaongea akishaenda ikulu

Huu ndio ulofa ktk uhalisia wake!
Habari hujaisoma sasa unajibu nini?
 
Kweli kabisa, hawa unaowaona wanakimbia leo usifikiri wanafurahi ujio wa Magufuri, wanahangaika usiku na mchana hata afe lakini tunaamini Mungu anatupenda watz na ndo maana katuletea ..mafisadi wana hira sana
 
Siku yakimkuta Magufuli utaenda kuisaidia polisi.
 
Sina imani na mgombea flani wa nafasi ya urais wa chama flan cha upinzani na genge lake la wahuni,wanaweza kuwategeshea hata ajali Dr magufuli na mama Suluhu kama ambavyo inasemekana wamefanya kwa mtikila.
Nakishauri chama changu pendwa cha mapinduzi kiwaongezee ulinzi wagombea wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…