USHAURI :MH.JPM GEUKIA VYOMBO VYA HABARIMEDIA

USHAURI :MH.JPM GEUKIA VYOMBO VYA HABARIMEDIA

mwenyeKitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
946
Reaction score
771
Kichwa cha habari kinajieleza. ..nashauri kama kweli nnchi ina nia ya kuwa ya viwanda lazima "minds" za wananchi zielekezwe huko.

Vipindi vya redio ambazo nyingi ndio husikilizwa zaidi ziwe na Vipindi vyenye kuelimisha ...kilimo.ufugaji.uvuvi.biashara etc

Sio burudani tuu asubuhi mpaka jioni
 
Back
Top Bottom