Ushauri: Mikoa yote Tanzania inayopakana na nchi nyingine iongozwe kijeshi

Ushauri: Mikoa yote Tanzania inayopakana na nchi nyingine iongozwe kijeshi

Mikoa kama Kagera, Kigoma, Mara, Arusha, Moshi, Mbeya, Rukwa, Ruvuma, Mtwara nk iongozwe kijeshi na itangazwe kuwa ni mikoa ya kijeshi, Mikoa hiyo kama kutakuwa na ulinzi wa kutosha wenye uadilifu kutoka kwa wanajeshi wetu.

Tunaweza kukusanya kodi na kufanya biashara kikamilifu, lakini pia kuzuia wahamiaji haramu, na biashara za magendo.

Pesa nyingi nchi hii inapoteza kwa kutokulinda ipasavyo mipaka ya nchi ni uchochoro wa wahamiaji haramu na biashara za magendo, kwa kiasi kikubwa zimeshamiri kutokana na ukweli kwamba jeshi la polisi na jeshi la uhamiaji hawajaweza kusimamia kikamilifu hii mikoa kuzuia mambo yote hayo.

Kwahyo ni bora wapewe wanajeshi kwa ajili ya kuhakikisha hakuna cha wahamiaji haramu wanaoingia nchi mwetu na hakuna cha biashara za magendo

Pia ufanyike msako mkali wa kuondoa raia wa kigeni ambao kiukweli wameshamiri sana katika mikoa ya mipakani haswa Kigoma na Kagera.

Hii mikoa ukitembelea unaweza kusema upo Burundi au Rwanda katika watu kumi watu wanne ni raia wa kigeni ambao wanaishi Tanzania kama wenyeji kabisa,

Hapa ndio unaweza kuona hii nchi ni shamba la bibi wengine ni viongozi kabisa wa kuchaguliwa au kuteuliwa very sad
Hivi Moshi nayo ni mkoa ?
 
Corruption kila mahali ipo unaishi wapi?
Yale mabasi yalikuwa yanatekwa umeyasahau eti
Hata Ulaya wizi upo sana
Umesikia police wa UK wameiba evidence ya unga na hela walizozishika
Africa ndio usiseme hao unaowasema wamejaa wanalipa rushwa kuwepo hapo
 
Back
Top Bottom