Ushauri: Milioni 5 ni kiwango ambacho hunisumbua kukivuka, Nifanyeje ili nivuke hii hatua?

Toa ushauri, acha kujishtukia. Utawasaidia ata wengine
Nawaza mimi ninaeishi chini ya dola 1 nikikushauri utanielewa,au ntaishia kidharaulika tu.
Umasikini mbaya vikao vya familia sisi ndio wakaribisha wageni.
 
FOCUS! ongeza biashara na fanya sana Ibada na utoe sadaka. Kuna jamaa kakushauri uuze simu hapo za tochi. Fanya hivyo na uongeze kibanda kingine.
 
Nawaza mimi ninaeishi chini ya dola 1 nikikushauri utanielewa,au ntaishia kidharaulika tu.
Umasikini mbaya vikao vya familia sisi ndio wakaribisha wageni.
Chini ya dola moja unazungumzia chini ya buku mbili (2000) ya kitanzania. Inamaana unaishi kwa kula mihogo ya kukaanga vipande vya mia mia na mia mbili mia mbili kama nguruwe?! 🤔🤔🤔
 
M
Wasalaaam ndugu Wana jf

Sjui ni kwangu tu au na kwako ipo hivi yaani kuna kiwango flani Cha pesa kukivuka kinakua na vizuizi vingi Sana mwisho wa siku unajikuta unacheza mule mule tu, sjui shida hua ni Nini.?

Kwa upande wangu Mimi mwaka 2021 nilikua na milion 5 biashara iliyo nipatia hiyo pesa ni hii ya huduma za kifedha.

Visanga vikaanza:

Kuna siku nilikosea kutuma pesa kimakosa sh 600,000 skubahatisha kuokoa hata Mia,

maumivu ya kupoteza wakati hayajaisha wezi wakaja kubomoa flame na kuiba mpaka mwisho wa siku nikajikuta Nina 3.8

Nikachukua maamuzi ya kutoka eneo Hilo kwenda kutafuta changamoto mikoa mingine japo flame niliacha chini ya uangalizi wnagu ili nikiferi kule nirudi, na nikaferi kweli

Mwaka Jana mwezi wezi wa 9 nikarudi nipo hoi nimepauka kuanzia muonekano mpaka uchumi, nimepambana kujiimalisha hatimaye nimefika kiwango nilicho kua nacho awali Cha 5.ml kinatimia mwezi huu.

Nimekua mtu wa kutafakari namna ya kuvuka kiwango, mawazo mengine yanambia nifunguo biashara nyingine, ila aina ya biashara ndo sjapata kwanza ninahofu ya kupoteza hiki kidogo nilicho kusanya.

Mawazo mengine yananambia nitunze akiba tu naishia kuwaza ntatunza mpaka lini wakati nataka kutanuka ki biashara.?

Umewahi kukutana na situation Kama hii na uliivukaje.?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu Tafuta Eneo karibu na sokoo la vyakula , Fungua duka la vifungashio, utakuja kunishukuruu, Vifungashio vinalipa saana, wengi huvidharau lakn ni business moja ambayo inalipaa saana saaana. Nimeianza mwakajana lkn Mungu kajalia saana, awali nlikuwa nauza saruji, lkn nlifilisika. So now nauza vifungashio na huduma ya uwakala mitandao mi nne ya simu
 
Nunua simu aina ya Nokia 105
  • Bei ya jumla ni TZS 15,000 hadi 20,000
  • Kwa kuanzia nunua simu za TZS. 500,000 ( laki Tano) | Yes, Tunajaribu biashara kwanza kabla ya kuweka mtaji mkubwa
Mtaji ukikuwa utaongeza simu za zingine na ikiwezekana utaagiza ambako wengine huziagiza kwa jumla na sio kupitia tena kwa mdau.

Bei ya wewe kuziuza hapo hapo kwenye kibanda chako:
  • Bei ya kuanzia ni TZS. 45,000
  • Bei yako ya mwisho ya kuuza isiwe chini ya TZS. 30,000 | Itategemea na mnunuzi ambavyo analalama kupunguziwa bei ( hivi visimu mikoani huuuzwa kati ya 45,000 hadi 60,000)

Wapi utazipata hizi simu:
- Anza kwa kuchukua kwa huyu mwana JF | Kama Unamtaji Kuanzia Laki Moja Fanya Biashara Hii

Uzuri wa biashara hii ya simu | Fedha yako haipotei
Mkuu biashara ya simu niliifanya mwanzoni, changamoto niliyo kua nayo zinatoka kwa kiwango kidogo kwa wiki unaweza uza pic mbili au tatu tu, nikapiga chini nikabakiza miamala tu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mzunguko wa wastani je mtaji wa milioni 5 kweny miamala ,unaweza kupata faida kiasi gani per month?
Mkuu kiwango Cha mtaji sio sababu pekee inayo kufanya kuweka kadilio la faida, ongezea na mzunguko.

Unaweza ukawa na mtaji wa milion 2.5 ukamzidi mwenye milion 7 pekee

Cha muhimu ni location then mtaji

Makadilio yangu ni kuanzia laki 5-1-ml inategemeana na idadi ya miamala kwa siku na kwa kila mtandao.

Nb sio kila mwenye mtaji wa 5 milion anaweza kupata hiyo faida lakini wapo wenye mtaji wa chini ya 5 milion wanapata faida hiyo.

Kwenye biashara pia kuna mda wa biashara, Kama utaenda kuanza jiandae kupata faida ndogo ila utakua unapanda taratibu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
M

Mkuu Tafuta Eneo karibu na sokoo la vyakula , Fungua duka la vifungashio, utakuja kunishukuruu, Vifungashio vinalipa saana, wengi huvidharau lakn ni business moja ambayo inalipaa saana saaana. Nimeianza mwakajana lkn Mungu kajalia saana, awali nlikuwa nauza saruji, lkn nlifilisika. So now nauza vifungashio na huduma ya uwakala mitandao mi nne ya simu
Mkuu asante, vifungashio vipi unavyo husika navyo.?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nawaza mimi ninaeishi chini ya dola 1 nikikushauri utanielewa,au ntaishia kidharaulika tu.
Umasikini mbaya vikao vya familia sisi ndio wakaribisha wageni.
jiamini mkuu,kikubwa kwanza unaishi,una simu ya smart, unajua kusoma na kuandika,zote rasilimali.
 
Mkuu angalia matumizi yako, uyapunguze yasiyo ya lazima. Uhakikishe unavisource vingine vya pesa. Usiitegemee hio biashara.
 
Biashara yeyote location matters then mtaji…wakat flan mm kabla hawajavunja vibanda 2021 nlkua stand ya daladala center mtaji ulkua 2M kamishen ilkua kukunja 900k n kawaida mitandao yote yaan n ile unafanya miamala had inafka muda unaanza kufuta meseji.

Sasahv capital imekua kufkia 5M+ lkn naambulia 400/500 tena kwa jasho haswa na nmekodi frem…kimsing nko mbion kutafuta biashara nyngne/location.

Hapo ulipo ukiweza uza phone accessories mara nyng faida yake huwa n mara mbil ya bei umenunua

Vingnevyo kama mtaji n 5M weka utaratibu wa kila mwez kujilipa100/200 kila mwez kama akiba mbali kabisa mahala ambapo huwez kuifkia kwa haraka kama kununua hisa,vipande vya UTT au fixed account..baada ya miaka 2 utakua kwnye 10M+….

Niamin mm mkuu,
 
Kwa mzunguko wa wastani je mtaji wa milioni 5 kweny miamala ,unaweza kupata faida kiasi gani per month?

Sio jambo la kustaajabisha ikiwa 400/300 biashara ya uwakala n ya kishenz sana ukiwa nje ya location na ukwel n kuwa muda wowote unaweza kupoteza fedha ama kwa kutapeliwa ama kuzdisha kias ama kutuma kimakosa
 
M

Mkuu Tafuta Eneo karibu na sokoo la vyakula , Fungua duka la vifungashio, utakuja kunishukuruu, Vifungashio vinalipa saana, wengi huvidharau lakn ni business moja ambayo inalipaa saana saaana. Nimeianza mwakajana lkn Mungu kajalia saana, awali nlikuwa nauza saruji, lkn nlifilisika. So now nauza vifungashio na huduma ya uwakala mitandao mi nne ya simu
Pole mkuu, biashara ya saruji ina changamoto gani iliyokupelekea kufilisika?
 
M

Mkuu Tafuta Eneo karibu na sokoo la vyakula , Fungua duka la vifungashio, utakuja kunishukuruu, Vifungashio vinalipa saana, wengi huvidharau lakn ni business moja ambayo inalipaa saana saaana. Nimeianza mwakajana lkn Mungu kajalia saana, awali nlikuwa nauza saruji, lkn nlifilisika. So now nauza vifungashio na huduma ya uwakala mitandao mi nne ya simu
Vifungashio vip hivo
 
Wasalaaam ndugu Wana jf

Sjui ni kwangu tu au na kwako ipo hivi yaani kuna kiwango flani Cha pesa kukivuka kinakua na vizuizi vingi Sana mwisho wa siku unajikuta unacheza mule mule tu, sjui shida hua ni Nini.?

Kwa upande wangu Mimi mwaka 2021 nilikua na milion 5 biashara iliyo nipatia hiyo pesa ni hii ya huduma za kifedha.

Visanga vikaanza:

Kuna siku nilikosea kutuma pesa kimakosa sh 600,000 skubahatisha kuokoa hata Mia,

maumivu ya kupoteza wakati hayajaisha wezi wakaja kubomoa flame na kuiba mpaka mwisho wa siku nikajikuta Nina 3.8

Nikachukua maamuzi ya kutoka eneo Hilo kwenda kutafuta changamoto mikoa mingine japo flame niliacha chini ya uangalizi wnagu ili nikiferi kule nirudi, na nikaferi kweli

Mwaka Jana mwezi wezi wa 9 nikarudi nipo hoi nimepauka kuanzia muonekano mpaka uchumi, nimepambana kujiimalisha hatimaye nimefika kiwango nilicho kua nacho awali Cha 5.ml kinatimia mwezi huu.

Nimekua mtu wa kutafakari namna ya kuvuka kiwango, mawazo mengine yanambia nifunguo biashara nyingine, ila aina ya biashara ndo sjapata kwanza ninahofu ya kupoteza hiki kidogo nilicho kusanya.

Mawazo mengine yananambia nitunze akiba tu naishia kuwaza ntatunza mpaka lini wakati nataka kutanuka ki biashara.?

Umewahi kukutana na situation Kama hii na uliivukaje.?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Nipo nasoma comment
 
Nunua simu aina ya Nokia 105
  • Bei ya jumla ni TZS 15,000 hadi 20,000
  • Kwa kuanzia nunua simu za TZS. 500,000 ( laki Tano) | Yes, Tunajaribu biashara kwanza kabla ya kuweka mtaji mkubwa
Mtaji ukikuwa utaongeza simu za zingine na ikiwezekana utaagiza ambako wengine huziagiza kwa jumla na sio kupitia tena kwa mdau.

Bei ya wewe kuziuza hapo hapo kwenye kibanda chako:
  • Bei ya kuanzia ni TZS. 45,000
  • Bei yako ya mwisho ya kuuza isiwe chini ya TZS. 30,000 | Itategemea na mnunuzi ambavyo analalama kupunguziwa bei ( hivi visimu mikoani huuuzwa kati ya 45,000 hadi 60,000)

Wapi utazipata hizi simu:
- Anza kwa kuchukua kwa huyu mwana JF | Kama Unamtaji Kuanzia Laki Moja Fanya Biashara Hii

Uzuri wa biashara hii ya simu | Fedha yako haipotei
Inaonekana jamaa ni mwaminifu sana
 
Back
Top Bottom