Nawaza mimi ninaeishi chini ya dola 1 nikikushauri utanielewa,au ntaishia kidharaulika tu.
Umasikini mbaya vikao vya familia sisi ndio wakaribisha wageni.
Chini ya dola moja unazungumzia chini ya buku mbili (2000) ya kitanzania. Inamaana unaishi kwa kula mihogo ya kukaanga vipande vya mia mia na mia mbili mia mbili kama nguruwe?! 🤔🤔🤔Nawaza mimi ninaeishi chini ya dola 1 nikikushauri utanielewa,au ntaishia kidharaulika tu.
Umasikini mbaya vikao vya familia sisi ndio wakaribisha wageni.
Mkuu Tafuta Eneo karibu na sokoo la vyakula , Fungua duka la vifungashio, utakuja kunishukuruu, Vifungashio vinalipa saana, wengi huvidharau lakn ni business moja ambayo inalipaa saana saaana. Nimeianza mwakajana lkn Mungu kajalia saana, awali nlikuwa nauza saruji, lkn nlifilisika. So now nauza vifungashio na huduma ya uwakala mitandao mi nne ya simuWasalaaam ndugu Wana jf
Sjui ni kwangu tu au na kwako ipo hivi yaani kuna kiwango flani Cha pesa kukivuka kinakua na vizuizi vingi Sana mwisho wa siku unajikuta unacheza mule mule tu, sjui shida hua ni Nini.?
Kwa upande wangu Mimi mwaka 2021 nilikua na milion 5 biashara iliyo nipatia hiyo pesa ni hii ya huduma za kifedha.
Visanga vikaanza:
Kuna siku nilikosea kutuma pesa kimakosa sh 600,000 skubahatisha kuokoa hata Mia,
maumivu ya kupoteza wakati hayajaisha wezi wakaja kubomoa flame na kuiba mpaka mwisho wa siku nikajikuta Nina 3.8
Nikachukua maamuzi ya kutoka eneo Hilo kwenda kutafuta changamoto mikoa mingine japo flame niliacha chini ya uangalizi wnagu ili nikiferi kule nirudi, na nikaferi kweli
Mwaka Jana mwezi wezi wa 9 nikarudi nipo hoi nimepauka kuanzia muonekano mpaka uchumi, nimepambana kujiimalisha hatimaye nimefika kiwango nilicho kua nacho awali Cha 5.ml kinatimia mwezi huu.
Nimekua mtu wa kutafakari namna ya kuvuka kiwango, mawazo mengine yanambia nifunguo biashara nyingine, ila aina ya biashara ndo sjapata kwanza ninahofu ya kupoteza hiki kidogo nilicho kusanya.
Mawazo mengine yananambia nitunze akiba tu naishia kuwaza ntatunza mpaka lini wakati nataka kutanuka ki biashara.?
Umewahi kukutana na situation Kama hii na uliivukaje.?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu biashara ya simu niliifanya mwanzoni, changamoto niliyo kua nayo zinatoka kwa kiwango kidogo kwa wiki unaweza uza pic mbili au tatu tu, nikapiga chini nikabakiza miamala tuNunua simu aina ya Nokia 105
Mtaji ukikuwa utaongeza simu za zingine na ikiwezekana utaagiza ambako wengine huziagiza kwa jumla na sio kupitia tena kwa mdau.
- Bei ya jumla ni TZS 15,000 hadi 20,000
- Kwa kuanzia nunua simu za TZS. 500,000 ( laki Tano) | Yes, Tunajaribu biashara kwanza kabla ya kuweka mtaji mkubwa
Bei ya wewe kuziuza hapo hapo kwenye kibanda chako:
- Bei ya kuanzia ni TZS. 45,000
- Bei yako ya mwisho ya kuuza isiwe chini ya TZS. 30,000 | Itategemea na mnunuzi ambavyo analalama kupunguziwa bei ( hivi visimu mikoani huuuzwa kati ya 45,000 hadi 60,000)
Wapi utazipata hizi simu:
- Anza kwa kuchukua kwa huyu mwana JF | Kama Unamtaji Kuanzia Laki Moja Fanya Biashara Hii
Uzuri wa biashara hii ya simu | Fedha yako haipotei
Mkuu kiwango Cha mtaji sio sababu pekee inayo kufanya kuweka kadilio la faida, ongezea na mzunguko.Kwa mzunguko wa wastani je mtaji wa milioni 5 kweny miamala ,unaweza kupata faida kiasi gani per month?
Sina uzoefu nayp Ila ntazingatiaaFungua sparepart za pikpik
Shukrani mkuuFOCUS! ongeza biashara na fanya sana Ibada na utoe sadaka. Kuna jamaa kakushauri uuze simu hapo za tochi. Fanya hivyo na uongeze kibanda kingine.
Mkuu asante, vifungashio vipi unavyo husika navyo.?M
Mkuu Tafuta Eneo karibu na sokoo la vyakula , Fungua duka la vifungashio, utakuja kunishukuruu, Vifungashio vinalipa saana, wengi huvidharau lakn ni business moja ambayo inalipaa saana saaana. Nimeianza mwakajana lkn Mungu kajalia saana, awali nlikuwa nauza saruji, lkn nlifilisika. So now nauza vifungashio na huduma ya uwakala mitandao mi nne ya simu
Nivingi mkuu karibuni aina zoote, magufuli, bahasha kaki, salfeti, take aways , foils , parcels za picha nk nkMkuu asante, vifungashio vipi unavyo husika navyo.?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
jiamini mkuu,kikubwa kwanza unaishi,una simu ya smart, unajua kusoma na kuandika,zote rasilimali.Nawaza mimi ninaeishi chini ya dola 1 nikikushauri utanielewa,au ntaishia kidharaulika tu.
Umasikini mbaya vikao vya familia sisi ndio wakaribisha wageni.
Ukichangia hoja waonekana una kiherehereNawaza mimi ninaeishi chini ya dola 1 nikikushauri utanielewa,au ntaishia kidharaulika tu.
Umasikini mbaya vikao vya familia sisi ndio wakaribisha wageni.
Kwa mzunguko wa wastani je mtaji wa milioni 5 kweny miamala ,unaweza kupata faida kiasi gani per month?
Pole mkuu, biashara ya saruji ina changamoto gani iliyokupelekea kufilisika?M
Mkuu Tafuta Eneo karibu na sokoo la vyakula , Fungua duka la vifungashio, utakuja kunishukuruu, Vifungashio vinalipa saana, wengi huvidharau lakn ni business moja ambayo inalipaa saana saaana. Nimeianza mwakajana lkn Mungu kajalia saana, awali nlikuwa nauza saruji, lkn nlifilisika. So now nauza vifungashio na huduma ya uwakala mitandao mi nne ya simu
Vifungashio vip hivoM

Wasalaaam ndugu Wana jf
Sjui ni kwangu tu au na kwako ipo hivi yaani kuna kiwango flani Cha pesa kukivuka kinakua na vizuizi vingi Sana mwisho wa siku unajikuta unacheza mule mule tu, sjui shida hua ni Nini.?
Kwa upande wangu Mimi mwaka 2021 nilikua na milion 5 biashara iliyo nipatia hiyo pesa ni hii ya huduma za kifedha.
Visanga vikaanza:
Kuna siku nilikosea kutuma pesa kimakosa sh 600,000 skubahatisha kuokoa hata Mia,
maumivu ya kupoteza wakati hayajaisha wezi wakaja kubomoa flame na kuiba mpaka mwisho wa siku nikajikuta Nina 3.8
Nikachukua maamuzi ya kutoka eneo Hilo kwenda kutafuta changamoto mikoa mingine japo flame niliacha chini ya uangalizi wnagu ili nikiferi kule nirudi, na nikaferi kweli
Mwaka Jana mwezi wezi wa 9 nikarudi nipo hoi nimepauka kuanzia muonekano mpaka uchumi, nimepambana kujiimalisha hatimaye nimefika kiwango nilicho kua nacho awali Cha 5.ml kinatimia mwezi huu.
Nimekua mtu wa kutafakari namna ya kuvuka kiwango, mawazo mengine yanambia nifunguo biashara nyingine, ila aina ya biashara ndo sjapata kwanza ninahofu ya kupoteza hiki kidogo nilicho kusanya.
Mawazo mengine yananambia nitunze akiba tu naishia kuwaza ntatunza mpaka lini wakati nataka kutanuka ki biashara.?
Umewahi kukutana na situation Kama hii na uliivukaje.?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Inaonekana jamaa ni mwaminifu sanaNunua simu aina ya Nokia 105