Ushauri: Milioni nne, bishara ipi yafaa Dodoma?

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
789
Ushauri tafadhali kwa wenyeji wa dodoma, kwa hyo fedha ni biashara gani hapa dodoma naweza fanya ili nikuze pato langu ila mimi ni mtumishi wa umma na sijawahi fanya biashara yoyote tangia nimeota kichwa.Asanteni

Angalizo:

Seriously contributor only.
 
Ushauri tafadhali kwa wenyeji wa dodoma, kwa hyo fedha ni biashara gani hapa dodoma naweza fanya ya kuzugia ili mtaji ukikua nifanye kweli

Angalizo:

Seriously contributor only.

Kwenye Biashara hakuna kuzuga if unataka kufanya biashara kwa uhakika angalia kwa makini biashara gani unataka kufanya huku ukitazama faida na hasara zake pamoja na matarijio yako ya baadae.
Biashara inaanza kutoka sehemu moja kwenda nyingine,sasa ukiita ya kuzugia nashindwa kuelewa unataka kuzuga kwa muda gani??Angalia files kibao umu kuna miongozo ya biashara na namna ya kujipanga kuanza aina fulani ya biashara
Samahani kwa kukwambia kama unataka kuzuga uza bangi au sembe ukikamatwa utazuga zaidi jela
 

Sawa mdau nimekuelewa
 
kama umeish dodoma kwa muda mrefu unaweza ukajua hasa watu wanahitaji kitu gani ambacho hakipo
mfano wakulima wa mahindi mashine za kupukuchua
kama kuna alzet mashine za kukamua

unaweza ukafanya biashara ambayo inafanyika na watu wengi na ikakulipa ila sasa changamoto ni nyingi kuliko uki think out of the box

ANGALIA MWENYEWE WHAT YOU CAN DO
 
Biashara ya chips inalipa na haihitaji mtaji mkubwa sana lamsingi tafuta location nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…