Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri tafadhali kwa wenyeji wa dodoma, kwa hyo fedha ni biashara gani hapa dodoma naweza fanya ya kuzugia ili mtaji ukikua nifanye kweli
Angalizo:
Seriously contributor only.
Kwenye Biashara hakuna kuzuga if unataka kufanya biashara kwa uhakika angalia kwa makini biashara gani unataka kufanya huku ukitazama faida na hasara zake pamoja na matarijio yako ya baadae.
Biashara inaanza kutoka sehemu moja kwenda nyingine,sasa ukiita ya kuzugia nashindwa kuelewa unataka kuzuga kwa muda gani??Angalia files kibao umu kuna miongozo ya biashara na namna ya kujipanga kuanza aina fulani ya biashara
Samahani kwa kukwambia kama unataka kuzuga uza bangi au sembe ukikamatwa utazuga zaidi jela